Kwa hali hii kuoa au kuolewa ni kazi ngumu

Kwa hali hii kuoa au kuolewa ni kazi ngumu

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949


Kutoka Kiaraka, Magegeni, Bagamoyo mkoa wa Pwani, kumetokea utata juu kuzikwa kwa mwili wa marehemu Massawe ambapo upande wa mke wanataka mwili usafirishwe na upande wa mume na majirani wakitaka marehemu azikwe nyumbani kwake Kiaraka walipojenga na mke wake.

Kutokana na utata huo mke amewasilisha maombi mahakamani kupinga mwili usitoke hospitali na kuzikwa nyumbani kwakwe bali usafirishwe kama yeye na ndugu zake wanavyotaka.
 
Sahizi Kuna haja ya Kila Mwanaume anayekufa ..Ndugu mfumbue macho

Wanawake wapumbavu siku hizi ndo wanaolewa.

Na Ndugu mnapopata ukweli wa kifo Cha Ndugu yenu... MCHINJENI HUYO MWANAMKE KAMA KUKU.

Mambo ya Duniani, tuwe tunamalizana wenyewe hapahapa Duniani,,, Mbinguni ni Hesabu tu.
 
Back
Top Bottom