π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π¬Ndyo maana mm nipo busy na mijimama tu
mzee wa chuga, upo ?ππππππDaah umejibu kishujaa n kwa uchungu sana
Wabongo tunachojua na kuwa na weledi ni kufikiria ngono, kula tu vyakula visivyo na virutubisho na kunya tu tena hatunyi kwa starehe na staha bali kwa shida kwenye vyoo vibaya na mazingira ya kutatanisha.Nchi nyingi za Africa tupo nyuma kitechnolojia kwa sababu kuu mbili.
1. Ukifanya jambo zuri kuhusu technology wanaishia kukusifia tu. Baada ya muda unasahaulika. Project nyingi tunaziona tunazisifia tunasahau...
KweliWabongo tunachojua na kuwa na weledi ni kufikiria ngono, kula tu vyakula visivyo na virutubisho na kunya tu tena hatunyi kwa starehe na staha bali kwa shida kwenye vyoo vibaya na mazingira ya kutatanisha.
Lakini licha ya yote alahamdululai Mungu ni pendo tunadunda tu hivyo hivyo kibishi tukisubiria kufa.