Uchaguzi 2020 Kwa hali hii, Membe anaweza kurudi CCM kabla hata kampeni hazijaisha

Uchaguzi 2020 Kwa hali hii, Membe anaweza kurudi CCM kabla hata kampeni hazijaisha

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Sijaelewa ni kuwa ACT Wazalendo hawampi support ya kutosha?

Yaani hili ndio liwe jukwaa la mgombea Urais kweli? Tena aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje?

Haya maisha yanaweza kumshinda kabla hata kampeni hazijaisha.

FB_IMG_1599327249627.jpg
FB_IMG_1599327273192.jpg
 
Pumzi imekata kabla hata mbio hazijaanza, Huyu uchaguzi ukipita tu Atakuwa anatambaa, Alijiona ana influence na anaweza kuishi nje ya mfumo mtu ameingia ndani ya sytem tangu yupo chuo hajui shida huyo.

Sasa akahisi atapata uungwaji mkono hata akiwa nje ya system hahah, Jasusi gani sasa uyo anashindwa ata kufanya forecast haoni kina mzee wa Msoga na Mzee wa kuwinda Tembo wametulia tuli wanajua ukiwa nje ya mfumo huna impact yoyote ile.

Ameanza kuona uhalisia sasa hapati ata asilimia 3 ya kula huyo. Btw Mtoto hata aondoke nyumbani kwa Hasira akirudi hatuwezi kumfukuza ila sharti amuombee baba mwenye nyumba msamaha, JPM mitano tena.
 
Membe uwezo wa kufanya kampeni kubwa anao, pesa za Gadaffi bado zipo, hiyo naamini ni strategy wameamua kumuacha Lissu amtandike Magufuli vizuri.
Sio kweli Membe kasoma upepo kaona wanamuunga mkono ni watu wa mitandaoni ambao hata hawawezi kuhudhuria hizo political rallies wala sio voters ivo kaona ni bora liende tu kuliko kuchoma pesa zake ambapo mwishoni achapwe hata na Mzee wa Ubwabwa Rungwe
 
Back
Top Bottom