Uchaguzi 2020 Kwa hali hii, Membe anaweza kurudi CCM kabla hata kampeni hazijaisha

Uchaguzi 2020 Kwa hali hii, Membe anaweza kurudi CCM kabla hata kampeni hazijaisha

Sio kweli Membe kasoma upepo kaona wanamuunga mkono ni watu wa mitandaoni ambao hata hawawezi kuhudhuria hizo political rallies wala sio voters ivo kaona ni bora liende tu kuliko kuchoma pesa zake ambapo mwishoni achapwe hata na Mzee wa Ubwabwa Rungwe
Miluzi mingi humpoteza mbwa, hizo ndio political calculations.
 
Budy be serious pls
Unadhani Membe angetaka kuwaweka kina diamond kwenye mikutano yake kama wafanyavyo CCM angeshindwa kujaza watu?! hata mikutano yake tu sisikii ikitangazwa wakati uwezo wa kufanya hivyo anao.

ACT na Chadema wangeungana tatizo ni zile sheria za mtego alizosema Lissu ITV, but viongozi wa hivyo vyama viwili bado wana nia njema kati yao.
 
Usitake kubadilisha maana, huyo Membe alikuwa anasifiwa kama sehemu ya kuchochea moto ndani ya ccm. Hakuna mtu wa upinzani anamuamini Membe, maana hakuna mwanaccm anaweza siasa nje ya siasa za ccm, kwenye mbeleko ya vyombo vya dola. Kama wapinzani kweli wangekuwa wanaamini katika nguvu mfu za Membe, ungeona akipata support hata sasa. Na kwa mwendo huu ndio Membe atazidi kupata watu wachache maana hakuna mpinzani anamkubali. Zito alitaka muungano na cdm ili awauzie kimeo, bila kujua cdm walishaumwa na lile joka lingine la kibisa Lowassa.
Sasa huo moto umeunguza ccm?
 
Wabongo bwana nyie nyie ndio mlikuwa mkimpa matumaini hewa mzee wa watu, sasa mnamnanga tena.

Story yake inatupatia somo la kutokuamini sana siasa za mitandaoni.
 
Kwa mujibu wa chadema huyo ni jasusi mbobevu ukimgusa ananuka na jiwe hana la kumfanya na ndie mgombea wa ccm 2020 utake usitake, jiwe ajiandae kurudi chato.

"alisikika taahira mmoja kutoka ufipa"
Kumbe membe ni mgombea urais wa CDM 🤣🤣🤣
 
kwani ina shida gani mkuu kwani jukwaa ndo sera , ? hata angesimama juu ya stuli sawa tu ,achana na kuangalia vitu vidogo
 
Ile kauli ya TWENDE NA MEMBE iliishia wapi? Humu kwenye mitandao kama una kichwa kidogo utadhani kuna upinzani. NO!!
Sasa hivi ipo ya NiYeye2020.
Mara Kachelo Mbobezi. HAKUNA
Samaki nje ya Maji hana nguvu

Nov 2020 hata TAL atakuwa labda mahakamani na deal za kesi

Faida ya Lisu kuwa mgombea ambayo imemsaidia ni hii
Ile kesi ya Uchochezi imekuwa dormant.
Ile kuogopa kuja na kudai usalama wake uko hatarini nayo IMEDISOLVE.
Mgombea Kumkamata ni Issue kubwa au kumtishia uslama wake hilo ndio Ushindi..
Mengine mmmh
 
Ile kauli ya TWENDE NA MEMBE iliishia wapi? Humu kwenye mitandao kama una kichwa kidogo utadhani kuna upinzani. NO!!
Sasa hivi ipo ya NiYeye2020.
Mara Kachelo Mbobezi. HAKUNA
Samaki nje ya Maji hana nguvu

Nov 2020 hata TAL atakuwa labda mahakamani na deal za kesi

Faida ya Lisu kuwa mgombea ambayo imemsaidia ni hii
Ile kesi ya Uchochezi imekuwa dormant.
Ile kuogopa kuja na kudai usalama wake uko hatarini nayo IMEDISOLVE.
Mgombea Kumkamata ni Issue kubwa au kumtishia uslama wake hilo ndio Ushindi..
Mengine mmmh
You said it all
 
Siasa za mitandaoni zilimvimbisha kichwa akajiona anapendwa kuliko mwenyekiti!

Asipokuwa makini hatamfikia hata RUNGWE kwa kura!

Atapata aibu sana huyu mzee!.
Kweli kabisa. Rungwe jukwaa lake ni bora kuliko la Membe! Akina Zitto ni wajanja wa mjini, wanamumalizia hela yake ya uzeeni kugharimia kampeni zao. Uchaguzi utakapoisha atarudi kwake Mtama akiwa fukara wa kutupwa!
 
Inasikitisha sana, aliambiwa aje CDM akaja na masharti sasa ona.
 
Back
Top Bottom