Uchaguzi 2020 Kwa hali hii, Membe anaweza kurudi CCM kabla hata kampeni hazijaisha

Uchaguzi 2020 Kwa hali hii, Membe anaweza kurudi CCM kabla hata kampeni hazijaisha

Wafuasi wa Chadema ndani ya JF wanachuza sana. Kwenye harakati zao za kutafuta hero wanaweza kumuaminisha mtu anauwezo wa kupaa, usipokuwa makini unaweza kujikuta unapanda juu ya ghorofa za PSPF uruke; mwisho wake sio mzuri...
Lissu angekua ni mwepesi msingeenda kumkokota Mama Maria Nyerere hadi akaja kuwavua nguo jukwaani 🤣🤣🤣
 
Wafuasi wa CDM ndani ya JF wanachuza sana. Kwenye harakati zao za kutafuta hero wanaweza kumuaminisha mtu anauwezo wa kupaa, usipokuwa makini unaweza kujikuta unapanda juu ya ghorofa za PSPF uruke; mwisho wake sio mzuri.

Ndio kilichomkuta Membe, baada ya CDM kupata hero mpya kutoka ubelgiji hawana habari nae. Membe mwenyewe ata kuongea majukwaani kushawishi hawezi.

Sasa hivi Lissu yeye anaaminishwa na wafuasi wa CDM ni malaika fulani hakuna anaemuweza Tanzania kila mtu anamuhofia sijui anaweza amrisha jeshi la raia wanaomuunga mkono wakinukishe anytime.

Unaoongea utoto gani we dogo? Hakuna mwanacdm alikuwa anamtaka Membe, watu walitaka huyo Membe apambane na Yesu wa ccm huko huko ndani ya ccm na sio nje. Lisu sio hero mpya wa Cdm, bali ni mwanacdm wa muda mrefu sana na anakubalika. Kila mtu anamsifia mgombea wake, kwani wafuasi wa ccm wanasema Magufuli atashindwa?
 
Kweli kabisa. Rungwe jukwaa lake ni bora kuliko la Membe! Akina Zitto ni wajanja wa mjini, wanamumalizia hela yake ya uzeeni kugharimia kampeni zao. Uchaguzi utakapoisha atarudi kwake Mtama akiwa fukara wa kutupwa!
Membe kaenda ACT wazalendo kwenda kushusha CV yake
 
Unadhani Membe angetaka kuwaweka kina diamond kwenye mikutano yake kama wafanyavyo CCM angeshindwa kujaza watu?! hata mikutano yake tu sisikii ikitangazwa wakati uwezo wa kufanya hivyo anao.

ACT na Chadema wangeungana tatizo ni zile sheria za mtego alizosema Lissu ITV, but viongozi wa hivyo vyama viwili bado wana nia njema kati yao.
Mkuu tufafanulie pls
Sheria inasemaje hapo kwenye vyama kuungana.?
 
Nadhani its time ACT Wazalendo/Membe wamuunge mkono Lissu kwa hapa Bara
 
Sijaelewa ni kuwa ACT Wazalendo hawampi support ya kutosha?

Yaani hili ndio liwe jukwaa la mgombea Urais kweli? Tena aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje?

Haya maisha yanaweza kumshinda kabla hata kampeni hazijaisha.

View attachment 1559836View attachment 1559837
Yaani hawana tofauti na Hashimu Rungwe. Zito aliahidi mara nyingi wataungana na Chadema kuwa na Mgombea mmoja, sijui kwa nn wanalazimisha wakati jamaa kapoteza mvuto wote. Wabadiri gia, waongee na Chadema fasta waongeze nguvu na membe ajitoe ili aje apewe uwaziri mambo ya nje huko mbele wakifanikiwa kushinda. Ila kwa mwendo huo, hamna kitu hapo.
 
Siasa za mitandaoni zilimvimbisha kichwa akajiona anapendwa kuliko mwenyekiti!

Asipokuwa makini hatamfikia hata RUNGWE kwa kura!

Atapata aibu sana huyu mzee!.
Ndio Shida ya upinzani wa Nchi hii
Yaani porojo za Mitandaoni zinawapa matumaini hewa
 
Ndio, ACT wanaenda kuwa chama kikuu cha upinzani kwa kutumia ticket ya Zanzibar, wana uhakika wa majimbo 18 Pemba, sasa wewe unaona CDM wana uwezo wa kupata hata majimbo 10 bara?
Majimbo 18 yatoke wapi wakati mmkatawagombea wao
 
miss you mtoto mzuri
1599372071885.png
 
Yaani hawana tofauti na Hashimu Rungwe. Zito aliahidi mara nyingi wataungana na Chadema kuwa na Mgombea mmoja, sijui kwa nn wanalazimisha wakati jamaa kapoteza mvuto wote. Wabadiri gia, waongee na Chadema fasta waongeze nguvu na membe ajitoe ili aje apewe uwaziri mambo ya nje huko mbele wakifanikiwa kushinda. Ila kwa mwendo huo, hamna kitu hapo.
Too late kwa Sasa maana wote wamesharudisha fomu

Zitto anaweza kuwa ndumi la kuwili kweli, kabla ya uchaguzi huu alikuwa akimtembelea Lissu Ujerumani na kusema Ni lazima Upinzani umsimamishe awe mgombea wao wote, Ila za chini kwa chini Ni kuwa alikuwa akimshawishi Lissu kuhamia ACT Wazalendo Ila Lissu akakataa

Uchaguzi ulipokaribia akawa anasisitiza hili kweli kuwa lazima waungane, Ila hola
 
Back
Top Bottom