Na hapo ni nyumbani kwake lindi, je akienda ugenini itakuwajeSijaelewa ni kuwa ACT Wazalendo hawampi support ya kutosha?
Yaani hili ndio liwe jukwaa la mgombea Urais kweli? Tena aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje?
Haya maisha yanaweza kumshinda kabla hata kampeni hazijaisha.
View attachment 1559836View attachment 1559837