Uchaguzi 2020 Kwa hali hii, Membe anaweza kurudi CCM kabla hata kampeni hazijaisha

Uchaguzi 2020 Kwa hali hii, Membe anaweza kurudi CCM kabla hata kampeni hazijaisha

Huwa hawafikiri mbali, walitakiwa kujiandaa miaka2 iliyopita na kuweka mtu makini kwenye hiyo nafasi ya urais ambae hangegawa vyama
Upinzani hata lile suala la kuachiana majimbo wakiona sehemu mpinzani wa chama tofauti na chao anakubalika zaidi,imeshindikana!
Focus imekuwa katika urais ubunge na udiwani kama wamechukulia easy.
 
Na kuna wajinga wa CCM humu walisema CDM imekufa, mara haitakuwa kambi rasmi ya upinzani. Sasa hivi unawacheki NCCR hoiii,ACT bara daaah, CUF atleast anajitutumua akiwa na dhambi ya usaliti mzito.

Mitano tena SASA BASI
Chadema inaweza kufa tu ila watu wanaotaka mageuzi wapo suku zote.

Hivyo watu watahamia tu chama kingine
 
Ha
Hahahahahaaaaaaaaa....

Afisa Kipenyo anadhalilika!

Jasusi mbobezi! Kachero wa Tanganyika.

Hahahahahaaaaaaa.
Haaa...... Afisa kipenyo bana hahaa.... Arudi tu nyumbani mkakati huu umeshindikana mara hii
 
He had this coming. Japokuwa huyu bwana ni mwepesi mno, huu sasa ni udhalilishaji😜

Kama ana watoto wenye akiri ni bora wamshauri tu asiendelee kutupa hela zake kwenye campaign iliyofail vibaya kabla hata haijaanza
 
N
Upinzani hata lile suala la kuachiana majimbo wakiona sehemu mpinzani wa chama tofauti na chao anakubalika zaidi,imeshindikana!
Focus imekuwa katika urais ubunge na udiwani kama wamechukulia easy.
Ubaya hawana mipango kila mmoja anaangalia faida binafsi. Bado wana safari ndefu sana
 
Membe uwezo wa kufanya kampeni kubwa anao, pesa za Gadaffi bado zipo, hiyo naamini ni strategy wameamua kumuacha Lissu amtandike Magufuli vizuri.
Weka membe,weka lissu na wengine woteeee unaowajua hawana uwezo wa kumtandika mzee.
 
Chaggadomo ni chama chenye mifuasi ya hovyo sana.

Kwa hali hii CCM utakung'uta marisasi mpaka basi.

Hicho chama ni kama hakina ruzuku na huu ni uchaguzi wake wa pili kushiriki, wewe unataka kulinganisha na CHADEMA yenye miaka 20?

Ishtoshe hata Chaggadomo watu wanaiunga mkono kwa kuwa wamechoka tu CCM na siyo kwamba ni chama cha maana
Huu Ni majadala kuhusu ACT
 
Siasa za mitandaoni zilimvimbisha kichwa akajiona anapendwa kuliko mwenyekiti!

Asipokuwa makini hatamfikia hata RUNGWE kwa kura!

Atapata aibu sana huyu mzee!.
Akipata aibu si ni maamuzi yake? Wewe unakuuma nini??
 
Kumbuka vyama vya upinzani havina rasilimali vya umma . Kwa hiyo udhaifu unaouona ni hali halisi ya nchi .
Anajisahau kabisa kwamba ACT ni chama kichanga cha juzi tuu. Halafu hiyo picha ni Kilwa Masoko, Lindi uwanja wa Mkapa Garden... Hapo ni one of the strong hold ya Mbunge Sulaiman Bungara almaarufu Bwege, na kulijaa kweli kweli.
 
Weka membe,weka lissu na wengine woteeee unaowajua hawana uwezo wa kumtandika mzee.
Katika ground ipi, weka free and fair election, saa 10 jioni tu CCM Out.
Na mikoa itakayoongoza kumkaanga ni:-
Kagera,Mara,Arusha,Kilimanjaro,Lindi,Mtwara,Mbeya,Kigoma,..
Ndio maana unaona hujuma kila kukicha.
Tunakumbusha tu kuwa uchaguzi huu unamulikwa na jumuia ya kimataifa kwa karibu, kama kutakuwa na uonevu na ukathibitika tujianda kukabiliana na shinikizo zito linaloweza kutuathiri.
 
Back
Top Bottom