Uchaguzi 2020 Kwa hali hii, Membe anaweza kurudi CCM kabla hata kampeni hazijaisha

Uchaguzi 2020 Kwa hali hii, Membe anaweza kurudi CCM kabla hata kampeni hazijaisha

Angalia; unaposikia nchi flani vyama vimeungana na kukitoa chama tawala madarani hesabu zao huwa hivi, chama A kina wanachama wengi mfano mikoa ya kusini, chama B kiko zaidi Mikoa ya magharibi, chama C kiko mikoa ya kati na chama D kiko mikoa ya kasikazini na chama tawala chenyewe kinajitapata kwa kuwa na wanachama nchi nzima, sasa hivyo vyama ABCD vikiungana ni rahisi sana kukitoa chama tawala, kwa nchi yetu mazingira hayako hivo.Haya niambie unadhani ACT au CUF ni wapi imekita mizizi??
CUF na ACT wapo Zanzibar na Kusini, maeneo ya Lindi, Mtwara pia na Tanga
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Inaitwa Megaphone au Loudspeaker..!! Ile ya kutangazia sumu ya panya, mende ya kuchora, fangasi, utangotango, mapunye, nyenyere na utitiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wabongo bwana nyie nyie ndio mlikuwa mkimpa matumaini hewa mzee wa watu, sasa mnamnanga tena.

Story yake inatupatia somo la kutokuamini sana siasa za mitandaoni.
Lakini aliseme kabla ya October lolote laweza kutokea.October bado week 4,
 
Yaani hawana tofauti na Hashimu Rungwe. Zito aliahidi mara nyingi wataungana na Chadema kuwa na Mgombea mmoja, sijui kwa nn wanalazimisha wakati jamaa kapoteza mvuto wote. Wabadiri gia, waongee na Chadema fasta waongeze nguvu na membe ajitoe ili aje apewe uwaziri mambo ya nje huko mbele wakifanikiwa kushinda. Ila kwa mwendo huo, hamna kitu hapo.
Zitto alitupa matumaini hewa,ndio chanzo cha Membe kwenda ACT.
Lakini Membe nae kama amekata tamaa,mapema angejitahidi hata kwenye promotion. Bado ana week tatu za kupindua meza.
 
Upinzani wanatakiwa kukusanya rasilimali zao kwa pamoja ili Wai challenge CCM kiukweli, Kama wameshindwa na kampeni zenyewe ndio hizi Ni afadhali angebaki CCM tu
Hapo umeongea kweli. Lkn ngumu sana. Chadema wenyewe wanaukata. Sasa upinzani hatuwezi kuua namna unayo sema. Kumbuka mtawala alipata mali nyingi zilizopatikana wakati tulipokua chama kimoja.
Sasa labda useme tawala agawane mali hizo na wapinzani maana amefaidika bila jasho.tangu mfumo huu unaanza.
Ni kama mtoto arithi mijimali kutoka kwa baba tajiri mama tajiri then mtoto mwingine masikini kabisa yaani. Kweli hawa watashindwanishwa ki fair kweli ??
Bondia wa kilo 100 za uzito huwezi mpa pambano na bondia wa kilo 50 za uzito.
 
Hayupo siriaz jamani[emoji1438]‍[emoji3603][emoji1438]‍[emoji3603]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu yani wewe ndiye umenichekesha kwa sauti sana mpaka watu wananidhania hamnazo.
 
Bado ninaendelea Kuhoji ni Mtanzania gani aliwadanganya Watanzania kuwa Bernard Membe ni Jasusi Nguli kabisa kuwahi kutokea hapa Tanzania?
 
Sio kweli Membe kasoma upepo kaona wanamuunga mkono ni watu wa mitandaoni ambao hata hawawezi kuhudhuria hizo political rallies wala sio voters ivo kaona ni bora liende tu kuliko kuchoma pesa zake ambapo mwishoni achapwe hata na Mzee wa Ubwabwa Rungwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
So mkuu yani ushamtabiria Rungwe kuwa ashashindwa Urais
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bado ninaendelea Kuhoji ni Mtanzania gani aliwadanganya Watanzania kuwa Bernard Membe ni Jasusi Nguli kabisa kuwahi kutokea hapa Tanzania?
Ni kama tu mwanamke mjinga akisifiwa njiani anaanza kuleta dharau kwa mme wake!

Siku akiachika hata waliokuwa wanampa kichwa wanamtosa[emoji3]
 
Ni mkakati huo Lissu ashinde, halafu atarudi nafasi yake waziri wa mambo ya nje.
 
Back
Top Bottom