Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmoja ni Rc wa Mbeya kwa kushindwa kuipa ccm ushindi mbeyaMembe pandikiz la ccm ila lisu atawafukuzisha watu kaz
Ukweli ni kuwa hana wafadhili ndo maana akina Zitto hawahangaiki naye.Sijaelewa ni kuwa ACT Wazalendo hawampi support ya kutosha?
Yaani hili ndio liwe jukwaa la mgombea Urais kweli? Tena aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje?
Haya maisha yanaweza kumshinda kabla hata kampeni hazijaisha.
View attachment 1559836View attachment 1559837
Mbona Kuna tawala zilikuwa za kibabe kuliko hata CCM na zikaanguka, Ni strategy tu, japo hawawezi kufanikiwa kuiangusha ndani ya uchaguzi huu,Hapo umeongea kweli. Lkn ngumu sana. Chadema wenyewe wanaukata. Sasa upinzani hatuwezi kuua namna unayo sema. Kumbuka mtawala alipata mali nyingi zilizopatikana wakati tulipokua chama kimoja.
Sasa labda useme tawala agawane mali hizo na wapinzani maana amefaidika bila jasho.tangu mfumo huu unaanza.
Ni kama mtoto arithi mijimali kutoka kwa baba tajiri mama tajiri then mtoto mwingine masikini kabisa yaani. Kweli hawa watashindwanishwa ki fair kweli ??
Bondia wa kilo 100 za uzito huwezi mpa pambano na bondia wa kilo 50 za uzito.
Hii inaenda kumtokea Magufuli!Siasa za mitandaoni zilimvimbisha kichwa akajiona anapendwa kuliko mwenyekiti!
Asipokuwa makini hatamfikia hata RUNGWE kwa kura!
Atapata aibu sana huyu mzee!.
Hapo sasa nimeungana na wewe. Tuko pamoja.Mbona Kuna tawala zilikuwa za kibabe kuliko hata CCM na zikaanguka, Ni strategy tu, japo hawawezi kufanikiwa kuiangusha ndani ya uchaguzi huu,
Hivi hoja zake nini na nini vile?Licha ya kukosa fedha, Membe Hana hoja kabisa
Kwani kalalamika au wewe ndio unalalamika ?Basi asingehamia Upinzani Kama alikuwa analijua Hilo au wangeungana na wenzao wa Chadema, Ila naona ego yake kubwa ndio imemponza
Kwa akili hizi mtsendelea kugongwa risasi mpaka za puruYaani nashukuru cdm waligoma kuungana na huyu mzee wa ccm, vinginevyo hii idadi ya watu anaopata Lisu, ccm wangesema cdm ilikuwa imekufa, lakini uwepo wa Membe ndio umeleta watu. Kuna watu huwa ninawaambia kabisa hata mafuriko ya Lowassa hayakumfuta Lowassa, bali Lowassa ndio alifuata kundi la mabadiliko ambalo liko Chadema.
Iwapo Lowassa angekosea ile 2015 aende chama kingine nje ya cdm, angepata aibu kuliko hii ya Membe. Hata sifa wanayopata ACT ni kwa ajili ya uwepo wa Maalim Seif huko Zanzibar.
Wafuasi wa upinzani wa kweli wako cdm kwa huku bara. Ile nyomi ya Membe kule Zanzibar alitembelea nyota ya Seif, ukweli huu Zito alikuwa anaujua ndio maana alikuwa anang'ang'ania muungano na cdm huku bara.
Nimecheka sana eti atarudi kabla ya kampeni kwishaSijaelewa ni kuwa ACT Wazalendo hawampi support ya kutosha?
Yaani hili ndio liwe jukwaa la mgombea Urais kweli? Tena aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje?
Haya maisha yanaweza kumshinda kabla hata kampeni hazijaisha.
View attachment 1559836View attachment 1559837
Chaggadomo ni chama chenye mifuasi ya hovyo sana.Nilalamike kwani Mimi ndio naumbuka Huko vijijini?
Si alisema wangeungana huyu Zitto? Upinzani huwa hawana mipango makini sababu ya ubinafsiSiasa ngumu sana.
Zitto alijua anakwenda kuiua Chadema
Na kuna wajinga wa CCM humu walisema CDM imekufa, mara haitakuwa kambi rasmi ya upinzani.Siasa ngumu sana.
Zitto alijua anakwenda kuiua Chadema
Na kama wangeungana Membe akasimamishwa, CDM ingepoteza wapiga kura ambao ni wanachama, tangu itokee issue ya Lowasa na Sumaye, wanachama wana hasira.Si alisema wangeungana huyu Zitto? Upinzani huwa hawana mipango makini sababu ya ubinafsi
Sijaelewa ni kuwa ACT Wazalendo hawampi support ya kutosha?
Yaani hili ndio liwe jukwaa la mgombea Urais kweli? Tena aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje?
Haya maisha yanaweza kumshinda kabla hata kampeni hazijaisha.
View attachment 1559836View attachment 1559837
Mmesahau msemo wa mwanzo mgumu?!?!Sijaelewa ni kuwa ACT Wazalendo hawampi support ya kutosha?
Yaani hili ndio liwe jukwaa la mgombea Urais kweli? Tena aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje?
Haya maisha yanaweza kumshinda kabla hata kampeni hazijaisha.
View attachment 1559836View attachment 1559837
Huwa hawafikiri mbali, walitakiwa kujiandaa miaka2 iliyopita na kuweka mtu makini kwenye hiyo nafasi ya urais ambae hangegawa vyamaNa kama wangeungana Membe akasimamishwa, CDM ingepoteza wapiga kura ambao ni wanachama, tangu itokee issue ya Lowasa na Sumaye, wanachama wana hasira.