uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Acha kujidanganya bwana mdogo, ebu chukua mikoa yote ya nchi hii kisha toa hiyo mikoa nane uliyoitaja ndo utapata jibu lako,Katika ground ipi, weka free and fair election, saa 10 jioni tu CCM Out.
Na mikoa itakayoongoza kumkaanga ni:-
Kagera, Mara, Arusha, Kilimanjaro, Lindi, Mtwara, Mbeya, Kigoma,..
Ndio maana unaona hujuma kila kukicha...
alafu kingine hao unaowaita sijui jumuiya ya kimataifa hawana cha kukusaidia kumbuka pia nao wanaona kwenye mitandao vile vile na aswa ata kama magu atahutubia kwenye kata au mtaa mdogo,ni must irushwe live dunia nzima ione,
na bahati nzuri au mbaya nyomi ya vimikutano vidogo vidogo anvyosimamishwa njiani huyo unayemuita meko ndivyo vinaweza kulingana na kupita nyomi za kiduku wenu mikoa ambayo unaona anakubalika.
Punguzeni ukibaraka wehu nyie.sana sana mabeberu yenu yaje kuwasaidia ili kurudisha hela walizo wapa kwenye huu uchaguzi.