chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Basi asingehamia Upinzani Kama alikuwa analijua Hilo au wangeungana na wenzao wa Chadema, Ila naona ego yake kubwa ndio imemponzaKumbuka vyama vya upinzani havina rasilimali vya umma . Kwa hiyo udhaifu unaouona ni hali halisi ya nchi .
We kwani umeona yeye kalalamika?Basi asingehamia Upinzani Kama alikuwa analijua Hilo au wangeungana na wenzao wa Chadema, Ila naona ego yake kubwa ndio imemponza
membe na magufuli wanasumbuliwa na ugonjwa wa kujiona bora kuliko wote.Basi asingehamia Upinzani Kama alikuwa analijua Hilo au wangeungana na wenzao wa Chadema, Ila naona ego yake kubwa ndio imemponza
Sio kweli Membe kasoma upepo kaona wanamuunga mkono ni watu wa mitandaoni ambao hata hawawezi kuhudhuria hizo political rallies wala sio voters ivo kaona ni bora liende tu kuliko kuchoma pesa zake ambapo mwishoni achapwe hata na Mzee wa Ubwabwa RungweMembe uwezo wa kufanya kampeni kubwa anao, pesa za Gadaffi bado zipo, hiyo naamini ni strategy wameamua kumuacha Lissu amtandike Magufuli vizuri.
Twin[emoji16][emoji16]Hayupo siriaz jamani[emoji1438][emoji3603][emoji1438][emoji3603]
Acha kumsidhalilisha Rais wetu mtaarajiwa kaa na ccm yako pilipili ya shamba mjini inakuwashia sisi ni wazarendo, kujaza watu sio inshu kwetu na kura ni siri ya mtu.Huyo itafika time tuta mpa ile Microphone yenye speaker hapo hapo