Uchaguzi 2020 Kwa hali hii, Membe anaweza kurudi CCM kabla hata kampeni hazijaisha

Basi asingehamia Upinzani Kama alikuwa analijua Hilo au wangeungana na wenzao wa Chadema, Ila naona ego yake kubwa ndio imemponza
Aje chadema hayo mambo ya ruzuku wataewane tu, zitto vipi? We mjanja huoni
 
Ndiyo maana nchi haina maendeleo kuwa na majasusi wa namna hii
 
Basi asingehamia Upinzani Kama alikuwa analijua Hilo au wangeungana na wenzao wa Chadema, Ila naona ego yake kubwa ndio imemponza

Yaani nashukuru cdm waligoma kuungana na huyu mzee wa ccm, vinginevyo hii idadi ya watu anaopata Lisu, ccm wangesema cdm ilikuwa imekufa, lakini uwepo wa Membe ndio umeleta watu. Kuna watu huwa ninawaambia kabisa hata mafuriko ya Lowassa hayakumfuta Lowassa, bali Lowassa ndio alifuata kundi la mabadiliko ambalo liko Chadema.

Iwapo Lowassa angekosea ile 2015 aende chama kingine nje ya cdm, angepata aibu kuliko hii ya Membe. Hata sifa wanayopata ACT ni kwa ajili ya uwepo wa Maalim Seif huko Zanzibar.

Wafuasi wa upinzani wa kweli wako cdm kwa huku bara. Ile nyomi ya Membe kule Zanzibar alitembelea nyota ya Seif, ukweli huu Zito alikuwa anaujua ndio maana alikuwa anang'ang'ania muungano na cdm huku bara.
 
Kwa mujibu wa chadema huyo ni jasusi mbobevu ukimgusa ananuka na jiwe hana la kumfanya na ndie mgombea wa ccm 2020 utake usitake, jiwe ajiandae kurudi chato.

"alisikika taahira mmoja kutoka ufipa"
 
Kwa mujibu wa chadema huyo ni jasusi mbobevu ukimgusa ananuka na jiwe hana la kumfanya na ndie mgombea wa ccm 2020 utake usitake, jiwe ajiandae kurudi chato.

"alisikika taahira mmoja kutoka ufipa"

Usitake kubadilisha maana, huyo Membe alikuwa anasifiwa kama sehemu ya kuchochea moto ndani ya ccm. Hakuna mtu wa upinzani anamuamini Membe, maana hakuna mwanaccm anaweza siasa nje ya siasa za ccm, kwenye mbeleko ya vyombo vya dola. Kama wapinzani kweli wangekuwa wanaamini katika nguvu mfu za Membe, ungeona akipata support hata sasa.

Na kwa mwendo huu ndio Membe atazidi kupata watu wachache maana hakuna mpinzani anamkubali. Zito alitaka muungano na cdm ili awauzie kimeo, bila kujua cdm walishaumwa na lile joka lingine la kibisa Lowassa.
 
Acha kumsidhalilisha Rais wetu mtaarajiwa kaa na ccm yako pilipili ya shamba mjini inakuwashia sisi ni wazarendo, kujaza watu sio inshu kwetu na kura ni siri ya mtu.
Wewe ndio umekaa pembeni yake kama mlinzi wake nini na miwani yako meusi ya Jua uliyonunua kwa machinga?
 
Mkuu, umeongea big point. Huu ni ukweli mchungu kwa maccm yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…