Kwa hali hii naamini maneno ya Askofu Gwajima kuwa viongozi wamehongwa ili chanjo ije

Mwanamume

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
271
Reaction score
216
Huu ni mkusanyiko wa watu ktk Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam mbele ya Rais 02/09/2021. Halafu bila soni akasisitiza chanjo.

Hivi Rais Samia yuko serious na gonjwa hili ama anaongea kuwafurahisha na kuwapumbaza walotoa hela?

Screenshot_20210903-000148.png

Wenye akili wameamua kumchana mheshimiwa rais bila woga.

Screenshot_20210903-112941.png
 
Je, Ulaya na kwingineko wanako andamana kupinga chanjo, nao ni Retarded and foolish mindset?

Kwamba ni Tanzania pekee ndio wapo wanaopinga chanjo za UVIKO-19 ni uvivu wa kufuatilia yanayojiri duniani au kwa ujuaji wako, hao wana ufinyu mkubwa wa akili?
Ndio, wale wanaopinga (ambao ni asilimia ndogo ya wananchi) ni foolish. Kwa nini idadi kubwa wanakaa foleni kupita chanjo?
(foolishness is no African priviledge!)
 
Ulikuwa hujui ni kumfurahisha mzungu afanye biashara maana chanjo yenyewe rais Jana ametamka wazi haizuii maambukizi Wala kifo.

Na ndiyo maana viongozi wanaruhusu mikusanyiko yote Kama hiyo.
Corona ya Tanzania ukiichukulia serious utapata vidonda vya tumbo tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Chanjo za TB, ndui, pepo punda, polio, yellow fever na madawa chungu nzima ya MABEBERU Waafrika tumemeza au kunywa kwa miaka mingi. MABEBERU wangetaka kutuua mbona kungekuwa hakuna hata Muafrika mmoja duniani? Baadhi ya Watanzania wana ufinyu mkubwa wa akili.

Sipo katika kundi la wakataa chanjo. Lakini watu wanao justify chanjo ya Corona kupitia history like "tumechomwa chanjo nyingi|kadhaa huko nyuma" nawachukulia ni watu wapumbavu sana.

Jambo ambalo hawajui kuwa ni mambo yanabadilika na kama mambo yanabadilika basi hata demand inabadilika.

Mfano: Kwa wakati huo walitaka tuwe safe sababu walikua na uhitaji wa Human resource/Labour power.
Lakini kwa sasa tupo kwenye digital/technological era ambapo Teknolojia ime-replace/inaendelea kureplace human labour.
Ni wakati sasa ambapo human labour hasa kazi za minguvu haziitajiki tena kwahiyo wanaweza fanya lolote ili kuendana na demand yao kwa wakati huu.

Mytake: Elimisheni watu kuhusu chanjo kwa faida zake wakati huu na baade.

Msione watu wanaokataa chanjo ni wajinga. Wakati hata nyie mnaochanjwa hamjui faida ya chanjo zaidi ya kuona kama ni ufahari kuchanja na ka-pichaa juu.
 
Ni Wapumbavu wakubwa kwa sababu duniani billions of people they got vaccinated and they are just doing fine healthy wise with exception of few.
Sipo katika kundi la wakataa chanjo. Lakini watu wanao justify chanjo ya Corona kupitia history like "tumechomwa chanjo nyingi|kadhaa huko nyuma" nawachukulia ni watu wapumbavu sana.

Jambo ambalo hawajui kuwa ni mambo yanabadilika na kama mambo yanabadilika basi hata demand inabadilika.

Mfano: Kwa wakati huo walitaka tuwe safe sababu walikua na uhitaji wa Human resource/Labour power.
Lakini kwa sasa tupo kwenye digital/technological era ambapo Teknolojia ime-replace/inaendelea kureplace human labour.
Ni wakati sasa ambapo human labour hasa kazi za minguvu haziitajiki tena kwahiyo wanaweza fanya lolote ili kuendana na demand yao kwa wakati huu.

Mytake: Elimisheni watu kuhusu chanjo kwa faida zake wakati huu na baade.

Msione watu wanaokataa chanjo ni wajinga. Wakati hata nyie mnaochanjwa hamjui faida ya chanjo zaidi ya kuona kama ni ufahari kuchanja na ka-pichaa juu.
 
World Health Organization approved those vaccines in order to save billions of people around the World and so far so good despite of those few and WHO is still supporting those vaccines.
Who are those few? Are they monkeys not humans?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ulikuwa hujui ni kumfurahisha mzungu afanye biashara maana chanjo yenyewe rais Jana ametamka wazi haizuii maambukizi Wala kifo.

Na ndiyo maana viongozi wanaruhusu mikusanyiko yote Kama hiyo.
Corona ya Tanzania ukiichukulia serious utapata vidonda vya tumbo tu.
chanjo zote duniani hazizuii ugonjwa husika. ila zinapunguza possibility ya kuupata. you should know better
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Chanjo za TB, ndui, pepo punda, polio, yellow fever na madawa chungu nzima ya MABEBERU Waafrika tumemeza au kunywa kwa miaka mingi. MABEBERU wangetaka kutuua mbona kungekuwa hakuna hata Muafrika mmoja duniani? Baadhi ya Watanzania wana ufinyu mkubwa wa akili.
Jinga wewe, kila kitu ni kwa mkakati na muda. Umeshaniuliza kwanini kunaongezeko kubwa la wagonjwa wa tezi dume siku za hivi karibuni?

Fuatilia utajua kitu. Mzungu hata kama amepanga kufanya jambo, huenda na time frame.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Chanjo za TB, ndui, pepo punda, polio, yellow fever na madawa chungu nzima ya MABEBERU Waafrika tumemeza au kunywa kwa miaka mingi. MABEBERU wangetaka kutuua mbona kungekuwa hakuna hata Muafrika mmoja duniani? Baadhi ya Watanzania wana ufinyu mkubwa wa akili.
Yaani kila nikiskia waswahili wanabeza kuhusu chanjo nacheka mnooo, adi leo tungekua tuliisha wote
 
😂😂😂 Chanjo za TB, ndui, pepo punda, polio, yellow fever na madawa chungu nzima ya MABEBERU Waafrika tumemeza au kunywa kwa miaka mingi. MABEBERU wangetaka kutuua mbona kungekuwa hakuna hata Muafrika mmoja duniani? Baadhi ya Watanzania wana ufinyu mkubwa wa akili.
Wewe ndo una ufinyu sana. Hayo mambo unayoongea yako cheap mno. Mjadala ni mada ya watu wenye akili kubwa halafu wewe unakuja na kama!
Kwa hiyo kama kuna wazungu wema kwa hiyo hakuna matycoon yanayoweza kupanga hatari?
Mnajua hata mbegu za mazao wanayotuletea zinavyoua ardhi na kuharibu mbegu zetu za asili?
Unajua nini kuhusu walovyohodhi biashara za uzalishaji kuku na mayai yake? Hivo vote ni biosecurities!! We sikulaumu maana uko kama robot tu, mpaka Mbowe au mnyika aseme ndo upate ignition ya jambo.
Acha kabisa kupotosha kama hujui kitu kaa kimya.
 
Mzungu kapiga machine gun Libya mpaka nchi imeisha kabisa leo ndo ashindwe kukuletea chanjo akumalize? Angalia Congo, angalia fitina wanazofanya kwa watu wanaojitambua, etc
 
Usichanganye vitu ambavyo havina uhusiano. Matycoon na kutengeneza COVID-19 vaccine wapi na wapi? Usilete uzushi wako hapa bila kuwa na ushahidi wa kuthibitisha upuuzi wako. Unadhani kwenye science ya namna ya kupambana na pandemic kama COVID-19 hao matycoon wanaingia kama wanavyoingia choono!? PUMBAVU!!!!
Wewe ndo una ufinyu sana. Hayo mambo unayoongea yako cheap mno. Mjadala ni mada ya watu wenye akili kubwa halafu wewe unakuja na kama!
Kwa hiyo kama kuna wazungu wema kwa hiyo hakuna matycoon yanayoweza kupanga hatari?
Mnajua hata mbegu za mazao wanayotuletea zinavyoua ardhi na kuharibu mbegu zetu za asili?
Unajua nini kuhusu walovyohodhi biashara za uzalishaji kuku na mayai yake? Hivo vote ni biosecurities!! We sikulaumu maana uko kama robot tu, mpaka Mbowe au mnyika aseme ndo upate ignition ya jambo.
Acha kabisa kupotosha kama hujui kitu kaa kimya.
 
Usichanganye vitu ambavyo havina uhusiano. Matycoon na kutengeneza COVID-19 vaccine wapi na wapi? Usilete uzushi wako hapa bila kuwa na ushahidi wa kuthibitisha upuuzi wako. Unadhani kwenye science ya namna ya kupambana na pandemic kama COVID-19 hao matycoon wanaingia kama wanavyoingia choono!? PUMBAVU!!!!
Haya nijibu sasa mwanasayansi, je ukichanja huambukizwi? Je ukichanjwa hutavaa mabarakoa tena? Na ukichanjwa uviko haitakuua?
 
Usichanganye vitu ambavyo havina uhusiano. Matycoon na kutengeneza COVID-19 vaccine wapi na wapi? Usilete uzushi wako hapa bila kuwa na ushahidi wa kuthibitisha upuuzi wako. Unadhani kwenye science ya namna ya kupambana na pandemic kama COVID-19 hao matycoon wanaingia kama wanavyoingia choono!? PUMBAVU!!!!
Nyie marobot ya chadema mnajionaga mna akiiili wakati hamna lolote kwenye mifuko yenu ya ufahamu.
Hivi ukiwa mwanachadema siku hizi akili unakua umeziweka wapi?!
 
Back
Top Bottom