Kwa hali hii naamini maneno ya Askofu Gwajima kuwa viongozi wamehongwa ili chanjo ije

Kwa hali hii naamini maneno ya Askofu Gwajima kuwa viongozi wamehongwa ili chanjo ije

Huu ni mkusanyiko wa watu ktk Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam mbele ya rais 02/09/2021. Halafu bila soni akasisitiza chanjo.

Hivi rais Samia yuko serious na gonjwa hili ama anaongea kuwafurahisha na kuwapumbaza walotoa hela?
Nani katoa hela? Chanjo ya bure kwenye mfuko wa covax unasema tena wametoa hela? Hivi kwa nini mnakuaga wajinga hivyo? Hivi ni Tzn pekee wako kwenye covax? Unajua gharama za kununua chanjo wewe au unaropoka tuu? Mbona Gwajiboy alivyoambiwa athibitishe alishindwa? Saizi kategewa kwenye vyomba akapayuke teka kule kijiweni kwake ataona moto.

Mwisho infact serikali ndio inatafuta pesa za mkopo wa masharti nafuu kutoka mfuko wa dharura wa kusaidia nchi maskini kujikwamua na athari za kiuchumi zilizosababishwa na covid 19.

Hiyo pesa is like grand fund lakini ina madharti,Kati ya hayo masharti ni lazima uthibitishe ulivyoathirika,sasa utathibitisha vipi ni kwa kutoa Takwimu za waathirika, vifo, lockdown (mwanzoni kabla ya chanjo) na hatua ulizochukua kukabiliana na ugonjwa na hapa ni dozi za chanjo zilizoidhinishwa.

Kimsingi pale kuna pesa ya Tzn imetengwa karibu dola za Marekani mil.500 zaidi ya Til.1.2 ya madafu.Riba ni ndogo Sana,unalipa mda mrefu ndani ya miaka 30 huku grace period ya kuanza kulipa ni miaka 3-7 kulingana na assessment yao.Sasa wewe kwa akili yako pesa kama hii unaiachaje wakati ukikopa kawaida ni ghali kupata na maumivu kulipa?

Hivi haukumbuki kashfa za kuzika majeneza matupu ya watu kule Uganda Ili wapate pesa? Hii pesa hata Magu aliitaka ila kwa kipindi kile sharti la lockdown hakukubaliana nalo ndio baadae chanjo zikaja.Kama ni mfuatiliaji sio mropokaji Magu mara kadhaa alivyokutana na IMF/WB aliwaambia wapewe mda hata wa miaka 5 wasilipe riba za mikopo na zisiwe zinaongezeka kama mbadala wa mkopo Ili kutoa nafuu kwenye uchumi.

Hiyo pesa ni tamu ikipatikana haraka Sana SGR inatoboa Mwanza na stiglaz inaisha sasa mnavyosikiliza upuuzi wa kina Gwajima ulioanzishwaga na Magu matokeo yake tozo kama kawaida na Rais kasema tozo zitaendelea kama vyanzo rasmi vya mapato Ili miradi isisimame.
 
chanjo zote duniani hazizuii ugonjwa husika. ila zinapunguza possibility ya kuupata. you should know better
Wataalamu wanasema huwa zinachukua miaka zaidi ya 10 kuthibitisha hazina madhara kwa afya ya Binadamu.

Hii chanjo ya COVID 19 imechukua miaka mingapi kuhakikisha haileti madhara kwa afya zetu?

Kwanini inapigiwa sana chapuo ilihali magonjwa mengi tu ya maambukizi hayapigiwi kampeni kama TB, HIV?

Je COVID 19 imeua sana watu kuliko idadi ya wagonjwa waliokufa na UKIMWI?

Tafakari nnje ya boksi, chukua hatua.
 
Jinga wewe, kila kitu ni kwa mkakati na muda. Umeshaniuliza kwanini kunaongezeko kubwa la wagonjwa wa tezi dume siku za hivi karibuni?

Fuatilia utajua kitu. Mzungu hata kama amepanga kufanya jambo, huenda na time frame.
Na anaweza kuvumilia muda hata zaidi ya miaka 1000 ilimradi atimize dhamira yake.

Ujinga tulionao hatumwamini Mungu kwa zaidi ya 100% ila mzungu hata anye mavi kisha akatuaminisha ndiyo dawa ya COVID 19 tutamuamini kwa 100%.

Sasa hizi ni akili au matope [emoji848][emoji1787][emoji1732]
 
Wewe ndo una ufinyu sana. Hayo mambo unayoongea yako cheap mno. Mjadala ni mada ya watu wenye akili kubwa halafu wewe unakuja na kama!
Kwa hiyo kama kuna wazungu wema kwa hiyo hakuna matycoon yanayoweza kupanga hatari?
Mnajua hata mbegu za mazao wanayotuletea zinavyoua ardhi na kuharibu mbegu zetu za asili?
Unajua nini kuhusu walovyohodhi biashara za uzalishaji kuku na mayai yake? Hivo vote ni biosecurities!! We sikulaumu maana uko kama robot tu, mpaka Mbowe au mnyika aseme ndo upate ignition ya jambo.
Acha kabisa kupotosha kama hujui kitu kaa kimya.
Mazungu yamenisababishia sili matikiti maji mwaka wa 8 huu hapa DSM hadi nilienda ZOO ndipo huwa nakula yale halisi yenye ganda la kijani tupu nnje.

Yani sisi wabongo vichwani ni weupe sana.
 
Mkuu unabishana na MPUMBAVU mmoja hanaga akili. Reasoning Capacity yake ipo Very Low, angalia comments zake na majibu yake ndo utanielewa. Ni mmoja wa watu wasiotumia akili binafsi atakwambia WHO wamesema hivi au vile hajui WHO inaongozwa na binadamu wwnye mapungufu kibao. Nakushauri muache aendelee kuishi na ufala wake.
Nakushauri mwache aendelee kuishi na ufala wake [emoji847]
 
Nipo kijijini ndanindani huku tunatengeneza barabara watu wa huku wanaamini rais kapewa hela ili watu wachanjwe, watu hawa hawataki kuchanja kabisa. Sasa hivi ndio hata condom hawatumii kabisa wanasema tumechezewa sana na beberu.
Inahitaji jitihada kubadili mtazamo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Chanjo za TB, ndui, pepo punda, polio, yellow fever na madawa chungu nzima ya MABEBERU Waafrika tumemeza au kunywa kwa miaka mingi. MABEBERU wangetaka kutuua mbona kungekuwa hakuna hata Muafrika mmoja duniani? Baadhi ya Watanzania wana ufinyu mkubwa wa akili.
Kabla ya hawa mabwenyenye zako,enzi za kale watu walikuwa wanachanjwa? Life span yao ilikuwaje? Je kama hizo chanjo ilikuwa mbinu moja wapo ya ukoloni mambo leo we unafahamu vipi?wewe huwezi jiuliza kwa nn walileta hizi chanjo?
 
Hakuna chanjo au dawa iliyo na efficacy 100% hata kuna wanaotumia ARVs ila CD4 bado zinashuka na wapo pia wanaotumia sindano za Insuline ila bado sukari inashindwa kujibalance so sio issue mpya kwenye medicine.

The thing is chanjo inakupa kinga kubwa zaidi so hta ikitokea umeugua inakua mild sio ile ya kwenda kupigwa mitungi ya gesi. Na ambacho ulipaswa kufahamu waliougua tena ni sababu ya delta variant sio virus wa kwanza ambapo ndio chanjo ilifanyiwa experiment kupitia hiko. So msipotoshe

Angalia tu takwimu mfano israel wamechanjwa zaidi ya 70% na kweli wagonjwa wanaolazwa wamepungua kwa asilimia nyingi mnoo na vifo vimepotea and actually mpka barakoa hazikuhitajika tena. Huko wanakivaa barakoa ni sababu watu chini ya 70% (Recommended na WHO) hawajachanjwa so kunakua na risk ya exposure.

UVIKO kukuua ni sababu ya underlying diseases ulizokua nazo..... Lakini kwa tafiti tu ingia kule MRDP upakue papers ni kwamba vifo vimepungua sana kadri chanjo zinavyozidi kutolewa meaning chanjo imesaidia mnoo kupunguza vifo na unaweza ona hta mpira watu wanaingia viwanjani freely tu!!
Una uhakika gani, ilihali hao unaowahusudu hawajawahi kukuwazia mazuri hata kidogo.

JPM alipoanzisha ujenzi wa mradi wa umeme kule kusini walimbeza kwa kiwango gani?

Wao hawajatengeneza huo umeme?

Unadhani hakuna vinavyowashinda ila sisi tukaviweza?

Unafahamu drones zinazotengenezwa USA zimetokana na Black nigger mwenye asili ya Nigeria?

Unakumbuka ugonjwa uliowashinda kumtibu Malkia wa UK hadi alitibiwa na Mwafrika toka Zimbabwe?

TZ bahati mbaya sana kuzaliwa kama tuna akili hizi za kuwaona wazungu ni kila kitu.
 
Hakuna chanjo au dawa iliyo na efficacy 100% hata kuna wanaotumia ARVs ila CD4 bado zinashuka na wapo pia wanaotumia sindano za Insuline ila bado sukari inashindwa kujibalance so sio issue mpya kwenye medicine.

The thing is chanjo inakupa kinga kubwa zaidi so hta ikitokea umeugua inakua mild sio ile ya kwenda kupigwa mitungi ya gesi. Na ambacho ulipaswa kufahamu waliougua tena ni sababu ya delta variant sio virus wa kwanza ambapo ndio chanjo ilifanyiwa experiment kupitia hiko. So msipotoshe

Angalia tu takwimu mfano israel wamechanjwa zaidi ya 70% na kweli wagonjwa wanaolazwa wamepungua kwa asilimia nyingi mnoo na vifo vimepotea and actually mpka barakoa hazikuhitajika tena. Huko wanakivaa barakoa ni sababu watu chini ya 70% (Recommended na WHO) hawajachanjwa so kunakua na risk ya exposure.

UVIKO kukuua ni sababu ya underlying diseases ulizokua nazo..... Lakini kwa tafiti tu ingia kule MRDP upakue papers ni kwamba vifo vimepungua sana kadri chanjo zinavyozidi kutolewa meaning chanjo imesaidia mnoo kupunguza vifo na unaweza ona hta mpira watu wanaingia viwanjani freely tu!!
Data za kupikwa hizo ili muweze kupigwa chanjo zenu hizo [emoji3526]
 
Chanjo ni hiyari ya mtu siyo lazima, Gwajima na wenzake wanaopinga chanjo wanatakiwa waseme pia ni njia gani mbadala itumike kujikinga/kujitibu na corona.

Tofauti na hapo Gwajima na wenzake watakuwa hawana tofauti na yule jamaa aliyetupiga changa la macho na dawa ya kienyeji toka Madagascar baada ya kushitukiwa akabadili gia angani akasema kuwa nchi haina corona wakati watu wanapukutika mchana na usiku.
 
Nyie marobot ya chadema mnajionaga mna akiiili wakati hamna lolote kwenye mifuko yenu ya ufahamu.
Hivi ukiwa mwanachadema siku hizi akili unakua umeziweka wapi?!
Have some respect kid.... CHADEMA wamekua consistent toka siku ya kwanza kuhusu msimamo wao wa Covid 19. Aibu ni kwa UVCCM mlipinga sana chanjo mkiongozwa na Kheri James leo hii mmeikubali na mnahamasisha watu wakachanje!! Are you insane??
 
Nipo kijijini ndanindani huku tunatengeneza barabara watu wa huku wanaamini rais kapewa hela ili watu wachanjwe, watu hawa hawataki kuchanja kabisa. Sasa hivi ndio hata condom hawatumii kabisa wanasema tumechezewa sana na beberu.
Inahitaji jitihada kubadili mtazamo.
Safi sana condoms za nini bhana nakati njia sahihi aliyotuwekea Mungu ya kumuandaa Ke hadi akipatwa na vimiminika laini ukala utamu bila mchubuko haupati HIV[emoji848] [emoji16]
 
Data za kupikwa hizo ili muweze kupigwa chanjo zenu hizo [emoji3526]
Zimepikwa sasa za ukweli zikwapi? Data hamziamini lakini nkikuhoji ulete za kwenu bado hauna? Kwa style hii acha tu tuitwe ulimwengu wa tatu.

Nlitegemea mje na hoja kwamba Tz tutengeneze chanjo zetu wenyewe! ila kazi ni kulaumu tu za wazungu hku sisi hatuna hta paracetamol tuliyowahi tengeneza!!
 
Chanjo ni hiyari ya mtu siyo lazima, Gwajima na wenzake wanaopinga chanjo wanatakiwa waseme pia ni njia gani mbadala itumike kujikinga/kujitibu na corona.

Tofauti na hapo Gwajima na wenzake watakuwa hawana tofauti na yule jamaa aliyetupiga changa la macho na dawa ya kienyeji toka Madagascar baada ya kushitukiwa akabadili gia angani akasema kuwa nchi haina corona wakati watu wanapukutika mchana na usiku.
Unajua kwanini alijitoa UN na nchi yake huyo Jamaa wa Madagascar?

Unajua aliyakinisha kiasi gani huo uchafu wa WHO?

Unajua jinsi gani tumepona na hizo nyungu?
 
Una uhakika gani, ilihali hao unaowahusudu hawajawahi kukuwazia mazuri hata kidogo.
Kama hawawazii mema kwani chanjo walitengeneza kwa ajili ya weusi au wao wenyewe?? Kma ni kwa ajili yao ina maaa walitaka kujiua wenyewe ili waafrika tubaki hai?? Kama walitengeneza kwa dunia nzima ina maana hata wao wametumia kitu wanachojua hakitowadhuru.

Ingekua chanjo ni kwa ajili ya blacks tu hapo sawa ila kwakua ni dunia nzima ina pandemic basi huwezi sema wameleta Covid 19 au chanjo kutuua waafrika pekee.
 
Zimepikwa sasa za ukweli zikwapi? Data hamziamini lakini nkikuhoji ulete za kwenu bado hauna? Kwa style hii acha tu tuitwe ulimwengu wa tatu.

Nlitegemea mje na hoja kwamba Tz tutengeneze chanjo zetu wenyewe! ila kazi ni kulaumu tu za wazungu hku sisi hatuna hta paracetamol tuliyowahi tengeneza!!
Ondokwa na hilo pepo la akili za kitumwa wewe!

Mwombe Mungu akulinde.

Piga nyungu ya uhakika uone kama COVID 19 itakubabaisha kisha uje unishukuru haraka iwezekanavyo.

Ushaidi, Baba Mkubwa, Kaka na Shemeji wamepiga maombi na nyungu wamepona na wako hai hadi dakika hii.
 
Kama hawawazii mema kwani chanjo walitengeneza kwa ajili ya weusi au wao wenyewe?? Kma ni kwa ajili yao ina maaa walitaka kujiua wenyewe ili waafrika tubaki hai?? Kama walitengeneza kwa dunia nzima ina maana hata wao wametumia kitu wanachojua hakitowadhuru.

Ingekua chanjo ni kwa ajili ya blacks tu hapo sawa ila kwakua ni dunia nzima ina pandemic basi huwezi sema wameleta Covid 19 au chanjo kutuua waafrika pekee.
Una uhakika aina ya vihusika vya chanjo ndivyo hivyo hivyo unavyoletewa wewe?

Hivi dunia nzima ni COVID 19 ndiyo gonjwa pekee linaloua watu ilihali Kansa, TB, UKIMWI n.k hayatuui?

Umeshachanjwa tahadhari ya kazi gani tena?
 
Hizo Condom ni za majaribio?
Hata zenyewe zimesambaza sana ukimwi....Kuna namna ambamo watu wetu hawafikiri sawasawa..

Libya ilikuwa nchi pekee Africa ambamo ukimwi haukuwepo, wakachanja watoto wasio na hatia kuwaambukiza, america blacks walichanjwa na kuambukizwa magonjwa, mbona hiyo mifano hamsemi? Mnakaririshwa kama parrots tu...Unafikiri wameanza leo kutuzuru? Lakini yupo Mungu ambaye anasimama na wale wasio na ufahamu, tatizo la Mungu ni kiwa ukiamua kwa makusudi kutofanya jambo anampa shetani haki yake...

Sisi tunaouwezo wa kujiamulia mambo yetu na kufanya jinsi tuonavyo ni sawa; Hayati ametufungua macho, imetoka ikirudi ni pancha!
 
Back
Top Bottom