Tatizo umeuza akili yako kwa weupe....Kwani uliambiwa tunaishi kwa hisani ya mzungu?Yaani kila nikiskia waswahili wanabeza kuhusu chanjo nacheka mnooo, adi leo tungekua tuliisha wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo umeuza akili yako kwa weupe....Kwani uliambiwa tunaishi kwa hisani ya mzungu?Yaani kila nikiskia waswahili wanabeza kuhusu chanjo nacheka mnooo, adi leo tungekua tuliisha wote
Kuna watu wakisikia mzungu wanapagawa. Achana nao mkuuHata zenyewe zimesambaza sana ukimwi....Kuna namna ambamo watu wetu hawafikiri sawasawa..
Libya ilikuwa nchi pekee Africa ambamo ukimwi haukuwepo, wakachanja watoto wasionahatia kuwaambukiza, america blacks walichanjwa na kuambukizwa magonjwa, mbona hiyo mifano hamsemi? Mnakaririshwa kama parrots tu...Unafikiri wameanza leo kutuzuru? Lakini yupo Mungu ambaye anasimama na wale wasio na ufahamu, tatizo la Mungu ni kiwa ukiamua kwa makusudi kutofanya jambo anampa shetani haki yake...
Sisi tunaouwezo wa kujiamulia mambo yetu na kifanya jinsi tuonavyo ni sawa; Hayati ametufungua macho, inetoka ikirudi ni pancha!
kwenye paragraph ya kwanza. technology ime advance. you dont have to wait 10yrs anymore.Wataalamu wanasema huwa zinachukua miaka zaidi ya 10 kuthibitisha hazina madhara kwa afya ya Binadamu.
Hii chanjo ya COVID 19 imechukua miaka mingapi kuhakikisha haileti madhara kwa afya zetu?
Kwanini inapigiwa sana chapuo ilihali magonjwa mengi tu ya maambukizi hayapigiwi kampeni kama TB, HIV?
Je COVID 19 imeua sana watu kuliko idadi ya wagonjwa waliokufa na UKIMWI?
Tafakari nnje ya boksi, chukua hatua.
Wengine hatuamini katika nyungu, tunaamini kuwa nyungu ni kazi ya shetani kama ilivyo corona,na kamwe hatuko tayari kupigwa nyungu,ndio maana serekali imetoa hiyari ya mtu kwenda kuchanja corona asiyetaka aendelee na nyungu zake,tusiyo amini katika nyungu tukachanjwe,wewe Gwajima na wenzako ambao mnapinga chanjo semeni ni njia gani mbadala tutumie siye ambaye hatuamini katika nyunguu?.Unajua kwanini alijitoa UN na nchi yake huyo Jamaa wa Madagascar?
Unajua aliyakinisha kiasi gani huo uchafu wa WHO?
Unajua jinsi gani tumepona na hizo nyungu?
Sawa na hao hao wataalamu ndiyo walioutengeneza UKIMWI maabara ili watuuzie madawa ya CD 4 kwaajili ya biashara zao, tufe na huo ugonjwa ili waendelee kututawala vizuri zaidi.kwenye paragraph ya kwanza. technology ime advance. you dont have to wait 10yrs anymore.
hao hao wataalam, ndio hao hao walo ruhusu chanjo kutumika. unless ni wataalam wa sehem nyingine
I ask you based on your allegation made here in this forum.Go and ask this question to Saudi Arabia government, by the way it is not the only country that reject China’s vaccine.
I ask you based on your uttarance made here in this forum, because Saudi govt refutes what you try to covince people here.Go and ask this question to Saudi Arabia government, by the way it is not the only country that reject China’s vaccine.
Tokwa na hilo pepo chafu wewe, unajua kwanini Mungu alimuumba Adam akamuweka aishi bustanini Eden na ailime na kuitunza?Wengine hatuamini katika nyungu, tunaamini kuwa nyungu ni kazi ya shetani kama ilivyo corona,na kamwe hatuko tayari kupigwa nyungu,ndio maana serekali imetoa hiyari ya mtu kwenda kuchanja corona asiyetaka aendelee na nyungu zake,tusiyo amini katika nyungu tukachanjwe,wewe Gwajima na wenzako ambao mnapinga chanjo semeni ni njia gani mbadala tutumie siye ambaye hatuamini katika nyunguu?.
Hao wanaopata mionzi na ARVs,walisha athirika tiyari ila wanasogeza siku,Sasa kama me sina athali yeyote kwanini nidungwe kitu ambacho sina uakika nacho kama kinaniponya?Waafrika tuache unafiki..... ARVs zina uhakika 100%? Tiba ya mionzi kwa wagonjwa wa kansa madhara yake mbona makubwa na haina guarantee ya kuponya?? Kiufupi 85% ya wanaotumia radiotherapy wanapata side effects za both long term na short term ila Mmewahi kupiga vita??
Nadhani tuna shida ya exposure that's all
kama umri wako haujaenda sana ...jitahidi urudi shule 🙄 🙄 🙄 🙄Huu ni mkusanyiko wa watu ktk Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam mbele ya Rais 02/09/2021. Halafu bila soni akasisitiza chanjo.
Hivi Rais Samia yuko serious na gonjwa hili ama anaongea kuwafurahisha na kuwapumbaza walotoa hela?
View attachment 1921733
Ndio, madhara yake ya muda mfupi (chini ya miaka mi5), muda wa kati (miaka mi5) na ya muda mrefu (miaka 10) hayafahamiki.
Kwahiyo tuendelee kukubali kudhuriwa?Hata zenyewe zimesambaza sana ukimwi....Kuna namna ambamo watu wetu hawafikiri sawasawa..
Libya ilikuwa nchi pekee Africa ambamo ukimwi haukuwepo, wakachanja watoto wasionahatia kuwaambukiza, america blacks walichanjwa na kuambukizwa magonjwa, mbona hiyo mifano hamsemi? Mnakaririshwa kama parrots tu...Unafikiri wameanza leo kutuzuru? Lakini yupo Mungu ambaye anasimama na wale wasio na ufahamu, tatizo la Mungu ni kiwa ukiamua kwa makusudi kutofanya jambo anampa shetani haki yake...
Sisi tunaouwezo wa kujiamulia mambo yetu na kifanya jinsi tuonavyo ni sawa; Hayati ametufungua macho, inetoka ikirudi ni pancha!
Acha uongo wazee wangu wamepiga sana malimao na nyungu za kutosha, ila waliponea ICU tena nje ya nchi!!Ondokwa na hilo pepo la akili za kitumwa wewe!
Mwombe Mungu akulinde.
Piga nyungu ya uhakika uone kama COVID 19 itakubabaisha kisha uje unishukuru haraka iwezekanavyo.
Ushaidi, Baba Mkubwa, Kaka na Shemeji wamepiga maombi na nyungu wamepona na wako hai hadi dakika hii.
Kwanini hatukutengeneza za kwetu ambazo hazina sumu? Huwa mnamsifia JPM kuwa aliikataa chanjo ya mebebru mnasahau kuwa alikua anatumia mashine ya beberu kusukuma damu!!Ndio, madhara yake ya muda mfupi (chini ya miaka mi5), muda wa kati (miaka mi5) na ya muda mrefu (miaka 10) hayafahamiki.
Umeambiwa priority ni watu wazima ambao immune zipo chini na mtu mwenye magonjwa nyemelezi. Unaweza ona chanjo haina faida ila kma una hypertension ambayo huijui Covid 19 ikipita yaani hutokohoa wala kutapika bali tunakuzika asbuhi tu.Hao wanaopata mionzi na ARVs,walisha athirika tiyari ila wanasogeza siku,Sasa kama me sina athali yeyote kwanini nidungwe kitu ambacho sina uakika nacho kama kinaniponya?
Kisa unakula nyama ya ng’ombe haimaanishi unywe na mkojo wake, bogus!Kwanini hatukutengeneza za kwetu ambazo hazina sumu? Huwa mnamsifia JPM kuwa aliikataa chanjo ya mebebru mnasahau kuwa alikua anatumia mashine ya beberu kusukuma damu!!
Katika vitu ambavyo JPM aliingia chaka ni Covid 19...... Kwanini hakutengeneza chanjo za hapa hapa?? Au hta aombe licence waje watengenezee hapa hapa kwetu ili tumonitor kila stage?
Si kamati iliundwa kuchunguza unadhani hawakufanya random sampling ya sample za chanjo? Labda wewe uniambie sample za kuja Africa na ulaya zina tofauti gani maana manufacturer wa J & J au AtsraZeneca ni wale wale!!Una uhakika aina ya vihusika vya chanjo ndivyo hivyo hivyo unavyoletewa wewe?
Hivi dunia nzima ni COVID 19 ndiyo gonjwa pekee linaloua watu ilihali Kansa, TB, UKIMWI n.k hayatuui?
Umeshachanjwa tahadhari ya kazi gani tena?
Si alisema mumtegemee Mungu kwanini yeye alitegemea mzungu ndio amsaidie kusukuma damu? Ina maana alikua anamfundisha mungu jinsi ya kuendesha mwili wa binadamu??Kisa unakula nyama ya ng’ombe haimaanishi unywe na mkojo wake, bogus!
Mimi siamini hizo issue za wazungu kutaka kutuuwa waafrika lakini sio sahihi kusema kuwa et wangetaka kutuuwa wangekuwa washatumaliza kwa sababu et tunatumia madawa na machano yao mengine.😂😂😂 Chanjo za TB, ndui, pepo punda, polio, yellow fever na madawa chungu nzima ya MABEBERU Waafrika tumemeza au kunywa kwa miaka mingi. MABEBERU wangetaka kutuua mbona kungekuwa hakuna hata Muafrika mmoja duniani? Baadhi ya Watanzania wana ufinyu mkubwa wa akili.
AchTokwa na hilo pepo chafu wewe, unajua kwanini Mungu alimuumba Adam akamuweka aishi bustanini Eden na ailime na kuitunza?
Unaelewa kiasi gani kuwa tiba na afya yako imejikita ktk miti, matunda, mimea na mazao?
Babu na Bibi zako hawakutumia hizo tiba mitishamba, waliishi miaka mingapi, waliibukiwa na magonjwa ya kiholela holela kama hiki kizazi chetu?
Unajua hata hizo dawa za Hospitalini zinatokana na mitishamba isipokuwa zinaundaa ktk mfumo wa kemikali ili zipate kudumu kwa muda mrefu na ziweze kubebeka na kuwekwa ktk mtiririko mzuri wa kuzitumia?
Ninyi ndiyo mnahitaji sana kufanyiwa maombi, Mungu akusaidie ili uwe na hekima.
Wafuasi wa Gwajima acheni maneno mengi tunaopingana na mtazamo wenu tuwe na pepo mchafu tusiwe na pepo mchafu twambieni ni njia gani mbadala tutumie tusioamini katika kupiga nyungu,halafu kama mnajua kuwa hata madawa yanatokana na mitishamba kwa nini mpinge chanjo wakati ni sehemu ya miti shamba?.Tokwa na hilo pepo chafu wewe, unajua kwanini Mungu alimuumba Adam akamuweka aishi bustanini Eden na ailime na kuitunza?
Unaelewa kiasi gani kuwa tiba na afya yako imejikita ktk miti, matunda, mimea na mazao?
Babu na Bibi zako hawakutumia hizo tiba mitishamba, waliishi miaka mingapi, waliibukiwa na magonjwa ya kiholela holela kama hiki kizazi chetu?
Unajua hata hizo dawa za Hospitalini zinatokana na mitishamba isipokuwa zinaundaa ktk mfumo wa kemikali ili zipate kudumu kwa muda mrefu na ziweze kubebeka na kuwekwa ktk mtiririko mzuri wa kuzitumia?
Ninyi ndiyo mnahitaji sana kufanyiwa maombi, Mungu akusaidie ili uwe na hekima.