UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Siku hizi kuna madawa,matiba ya kisasa na machanjo kibao ila ndio kipindi kina maradhi mengi kuliko zamani.Yaani kila nikiskia waswahili wanabeza kuhusu chanjo nacheka mnooo, adi leo tungekua tuliisha wote