Huu ni mkusanyiko wa watu ktk Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam mbele ya Rais 02/09/2021. Halafu bila soni akasisitiza chanjo.
Hivi Rais Samia yuko serious na gonjwa hili ama anaongea kuwafurahisha na kuwapumbaza walotoa hela?
View attachment 1921733
Wenye akili wameamua kumchana mheshimiwa rais bila woga.
View attachment 1922082
Yaani mtu akuhonge ili akupe dawa za kukuponya bure! Jamani elimu bure hizi zimefanya watu wawe bure!!