Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
😄🤣😒😂Mke wa hersi atakuja mtetea mumewe humu
Wenye akili huko utopoloni ni wawili tu.Kama Manara alikuwa akiwatukana kama wapumbavu na leo wanamuona wa Maana unategemea kuna mwenye akili huko?
Naona kimada umetoswa, hivyo umeamua kuja JF kumsagia kunguni X buzi.Mke wa hersi atakuja mtetea mumewe humu
ngara23 atakuparura na makucha akuharibu usoni we jifanye kidume . ngara ni pro hersi piga ua garagaza atakuja kukujibu 🤣Mke wa hersi atakuja mtetea mumewe humu
Ha ha ha ha na ID hii mkewe povu kama lote? Picha inazungumza a lotNaona kimada umetoswa, hivyo umeamua kuja JF kumsagia kunguni X buzi.
Hujasema na ukoloni lakini?Wenye akili huko utopoloni ni wawili tu.Kama Manara alikuwa akiwatukana kama wapumbavu na leo wanamuona wa Maana unategemea kuna mwenye akili huko?
Hersi alistahili kubebwa kwakua yeye ndie ana beba maono ya Yanga na mpira wa Tanzania kwa ujumla.
Mpaka sasa ana wanyoosha Simba mpaka wameshika adabu.
Mpango wake ni kuwafunga Simba mara kumi mfulululizo uku aki twaaa mataji yote.