Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
- Thread starter
- #21
Hivi vidada vya hivi huwa havijatulia kabisa.View attachment 3285181
Mleta mada mchokozi sana
Hivi vidada vya hivi huwa havijatulia kabisa.View attachment 3285181
Mleta mada mchokozi sana
Na hii ndo maana halisi ya utopwinyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mambo yanafurahisha sana
Na hili linadhihirisha namna mlivyojaa matikiti maji utopolonSasa shida iko wapi hapo ikiwa tumembeba kwa mapenzi yetu tena bila kulazimishwa.
Utopwinyo na mataji ya local cup mnabebaga......Mpango wake ni kuwafunga Simba mara kumi mfulululizo uku aki twaaa mataji yote.
😅😅Mke wa hersi atakuja mtetea mumewe humu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 When a woman loves. We acha tu😅😅
Unamaanisha ngara tatu ama
Hii ni jamii ya watu wa hovyo kabisa kuwahi kutokea