Kwa hali hii ndo maana Hersi anatuona kama sisi sote wala Mihogo

Hersi alistahili kubebwa kwakua yeye ndie ana beba maono ya Yanga na mpira wa Tanzania kwa ujumla.
Mpaka sasa ana wanyoosha Simba mpaka wameshika adabu.

Mpango wake ni kuwafunga Simba mara kumi mfulululizo uku aki twaaa mataji yote.
 
Kula 5
 
Mta hangaika sana, mliambiwa msajili mkawa mna puuza, sasa mna wa angaisha Tff bodi ya Ligi na marefa.
 
Wala mihogo wana mkashifu mla mihogo.
Kwani kula mhogo ni kuvunja sheria ?.
Au ni dhambi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…