Kwa hali hii ndo maana Hersi anatuona kama sisi sote wala Mihogo

Mpango wake ni kuwafunga Simba mara kumi mfulululizo uku aki twaaa mataji yote.
Utopwinyo na mataji ya local cup mnabebaga......

kwa nini mkienda kimataifa huwa mnafurushwa mapema tu?

Mlipaswa mkipige na Orlando pirates April 2 kama sio mwarabu kuwaaibisha siku ile pale kwa Mkapa 🐸🐸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…