Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Da mau kibuyu sana 😹😹Kaokota story saloon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Da mau kibuyu sana 😹😹Kaokota story saloon
Simwachi kwanza ila huo ukuni atakaopata utaendana na kula yakeMara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea naye au utamwacha kwa halii hii ya bajeti ya nchi
Chakula kinaliwa kweri kweri sasa tumeanza kusimangwa na wapenzi tena 😥Eti kuna wadada mnakula mno🤔
Haina noma aje ale akimaliza kula tu namwekea miziki ya kikongo akate miuno najua Kwa atakavoshiba hawezi ataamua anye au atapikeDa mau kibuyu sana 😹😹
jiheshimu mpenzi wangu yupi huyo?Sasa si mpenzi wako sasa
😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾Na kama si mraji mwanaume pia anahisi wamdanganya.....kumbe wewe unataka kula kichwa chake cha chini ushibe uji wenye chumvi then ujirudie home kazi kesho ziende vizuri bila stress
😹😹😹 winga unataka kujiweka?Haina noma aje ale akimaliza kula tu namwekea miziki ya kikongo akate miuno najua Kwa atakavoshiba hawezi ataamua anye au atapike
😁😁😁Hilo chaka apana mwezi mchanga sekunde yeyote😹😹😹 winga unataka kujiweka?
Kula anapenda, kupika aaaaaaah.Mara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea naye au utamwacha kwa halii hii ya bajeti ya nchi
Huyo ndio mzuri sasa.Mara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea naye au utamwacha kwa halii hii ya bajeti ya nchi
😹😹😹 Acha basi sio pouwa aisee.!!😁😁😁Hilo chaka apana mwezi mchanga sekunde yeyote
Kiukweli unakuta umetoka out na mdada umenunua labda kuku anakula kidogo anaacha nyama nyingi kwa mfupa kimaringo ,huwa inaniumaga mno, matumiz mabaya ya pesa kama ni kula kula,ikibidi vunja na mifupa hakuna tatizo.Chakula kinaliwa kweri kweri sasa tumeanza kusimangwa na wapenzi tena 😥
Mimi kwenye chakula sina shida napenda mtu ale saizi yake..huwezi mpangia mtu kula..Mara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea naye au utamwacha kwa halii hii ya bajeti ya nchi
ni sawa tu maama dem anaye kula sana ni mpenzi wake.Hii ni habari na hoja mchanganyiko mbona umeiweka kwenye jukwaa la mapenzi?
Tuishi humuKuna kitu umenikumbusha nimecheka sana’a
Kuna member wa kike alinipa password yake nitumie id yake alijifanya mwanaume, niliyokutana nayo duh.!! 😹😹😹Tuishi humu
First date? 🙄😂😂 Kama ndio Nakubali lazma tufanye Ivo bwana. Ila kama tushazoeana 🤣🤣 Fukuza huyo mfujajiKiukweli unakuta umetoka out na mdada umenunua labda kuku anakula kidogo anaacha nyama nyingi kwa mfupa kimaringo ,huwa inaniumaga mno, matumiz mabaya ya pesa kana ni kula kula,ikibidi vunja na mifupa hakuna tatizo.