Kwa hali hii utaweza?

Kwa hali hii utaweza?

Mara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea naye au utamwacha kwa halii hii ya bajeti ya nchi
Simwachi kwanza ila huo ukuni atakaopata utaendana na kula yake

After all, kula sana sio kubaya ikiwa output yake inaendana na mlo wake

Sio kula sana afu kazi kidogo
 
Na kama si mraji mwanaume pia anahisi wamdanganya.....kumbe wewe unataka kula kichwa chake cha chini ushibe uji wenye chumvi then ujirudie home kazi kesho ziende vizuri bila stress
😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾
 
Mara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea naye au utamwacha kwa halii hii ya bajeti ya nchi
Kula anapenda, kupika aaaaaaah.

By the way mimi napenda wanawake ambao hawajivungi kwenye Kula ila sio mrafi kama huyo kwa maana chakula nnachokula mimi hadi mdada ukimalize sio mchezo ujue.
 
Hapo Atakuwa kala hela yake nauli ya kurudia, Kama hajaelewa ataelewa nikishamaliza kumsukuma damu
 
Mara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea naye au utamwacha kwa halii hii ya bajeti ya nchi
Huyo ndio mzuri sasa.
Mwanamke asiyekula mie simpendi.
 
Chakula kinaliwa kweri kweri sasa tumeanza kusimangwa na wapenzi tena 😥
Kiukweli unakuta umetoka out na mdada umenunua labda kuku anakula kidogo anaacha nyama nyingi kwa mfupa kimaringo ,huwa inaniumaga mno, matumiz mabaya ya pesa kama ni kula kula,ikibidi vunja na mifupa hakuna tatizo.
 
Mara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea naye au utamwacha kwa halii hii ya bajeti ya nchi
Mimi kwenye chakula sina shida napenda mtu ale saizi yake..huwezi mpangia mtu kula..
Muhimu game asinipimie tu kitandani.
 
Kiukweli unakuta umetoka out na mdada umenunua labda kuku anakula kidogo anaacha nyama nyingi kwa mfupa kimaringo ,huwa inaniumaga mno, matumiz mabaya ya pesa kana ni kula kula,ikibidi vunja na mifupa hakuna tatizo.
First date? 🙄😂😂 Kama ndio Nakubali lazma tufanye Ivo bwana. Ila kama tushazoeana 🤣🤣 Fukuza huyo mfujaji
 
Back
Top Bottom