Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Mkuu unataka kuoa unaombwa 10 unalula chocho, utaweza kujitoa ukweni kweli mkuu
Hahaha umenichekesha sana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ si bora mimi nimekimbia kizinga cha elf 10, umenikumbusha kuna page moja ya maswala ya ndoa kule fb, kwenye comments wadada wengi walikua wanalalamika wanasema wanaume wengi wakiombwa vocha tu wanakimbia ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃmbavu zangu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mussa Nzugilwa VERBOSE Sakasaka Mao Vincenzo Jr
 
Nawashauri vijana jitoeni kwa mabinti
 
Mimi wakiniambiaga hivyo namwambia basi mimi nakupa 50 kabisa njoo unipe jokeri.
 
Wa Bure wapo wengi tu mbona yule mke wa afande wa hapo mitaa ya Nala
Huwa namkula bure na ananipa na hela
Umeona sasa kumbe humkuli buree unampa hela za ice cream, ubuyu na ulwaju huko shule.

Em waambie hawa wenzio, hakuna cha buree.
 
Comment za wadau hapo juu ni Kama wanamlaumuniwa kugoma kutoa hiyo elfu 10 lakini hamuoni tatizo alilonalo huyo mwanadada .. hiyo ni red flag ambayo inapuuzwa sana na wengi wetu.. haiwezekani mwanamke umwombe namba tu muanze kuwasiliana halafu Ghafla ndani ya masaa 24 akuombe Hela? Hujiulizi kabla ya kukuomba namba ni vizinga vingapi amevipiga kwa wanaume?...
Huyo mwanamke ni Whore . Full stop.
 
Wewe hapa JF tunakufahamu michezo yako. Ila huyo bidada kiboko kakujua kwa muda mchache lengo lako..!!

Kinachokuuma hapo kakuwahi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Wewe ulitaka kumla mwenzio kimasihara kakushtukia. Mmekutana wote matapeli ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น
 
Wewe hapa JF tunakufahamu michezo yako. Ila huyo bidada kiboko kakujua kwa muda mchache lengo lako..!!

Kinachokuuma hapo kakuwahi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Wewe ulitaka kumla mwenzio kimasihara kakushtukia. Mmekutana wote matapeli ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น
Unanilaumu kwa hiyo michezo yangu ๐Ÿ˜ni kwavile tu nimeamua kuweka wazi dark fantasy zangu humu jf, ndo maana unaniona mtu wa ajabu na hovyo, ila watu wengi tu wana hamu za hovyo na mawazo ya hovyo sema wanaamua kukaa kimya na kujivika vazi la heshima mbele ya jamii, ila kiuhalisia mawazo yao yameoza Lamomy
 
Inauma sana kukutana na mjanja mwenzio ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Inauma sana kukutana na mjanja mwenzio ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Haha suala si ujanja, naona tu hakuwa amevutiwa na mimi kimapenzi, akaona mambo yasiwe mengi ๐Ÿ˜, trick aliyotumia kunikataa ni ya kizamani hata mwanajf anaejiita holoholo anaijua Lamomy
 
Alipokuomba umkopeshe elfu 10 ukaona "Huyu nae wale wale"

Swali langu kwako,
Ulimaanisha nini kusema Huyu nae wale wale? Hao wale wale ndio kina nani? Au ndio hua unakutana na wanawake wa hivyo siku zote?

Pengine hata yeye alikudharau kwa kutomkopesha hata elfu 10 tu,

Mkuu starehe gharama,wewe ulitaka akuombe baada ya muda gani ndio uone sawa? Hela ndogo sana hiyo,

Nakushauri achana na wanawake,tafuta hela kwanza.
 
Mkuu unataka kuoa unaombwa 10 unalula chocho, utaweza kujitoa ukweni kweli mkuu
Wewe siku ya kwanza tu unaombwa 100k unatoa??

Ukija kuzeeka masikini utamlaumu mtu kweli?

Msione sifa kutoa pesa hovyo kwa wanawake, that's not investing, ni ufujaji wa pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ