Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,929
- 7,927
si bora wewe kuna demu kitaa nilimwongezea tsh 10,000 ya kodi nikapotezea,nikashangaa ananiambia nikamchue aje ghetto nikamwambia sawa baadae namcheck kapotea hewani siku nyingine nimemuita akaniambia nimnunulie umeme kwao umeisha na hana hela nikanunua na hajaja ,siku nyingine kaleta pigo izo izo za kununuliwa umeme ndo aje nikaona demu chenga nikampotezea ,nikaja kugundua ndo pigo zake kwa wanaume ana script yake iyo iyo,nikajisemea moyoni ndo maana uwa wanajeruhiwa tunawatetea kumbe issue uwa nikuchanganya wanaume na kula hela za wanaume.Habarini,
Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.
Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.
Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.
Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu π€ na sio hapanaπ€
Dunia imeharibika.
Alionwa 10k mkuu, tena binti alivyo mstaarabu aliomba akopeshweWewe siku ya kwanza tu unaombwa 100k unatoa??
Ukija kuzeeka masikini utamlaumu mtu kweli?
Msione sifa kutoa pesa hovyo kwa wanawake, that's not investing, ni ufujaji wa pesa.
watu wengi hatujielewi tu ila demu kuomba na kumpa kizembe uwa mademu wanatudharau sana na kutuona maboya tusio na akili,na unaweza kuta anaenda kupewa boy mwenzako na pia ni matumizi mabaya ya pesaWewe siku ya kwanza tu unaombwa 100k unatoa??
Ukija kuzeeka masikini utamlaumu mtu kweli?
Msione sifa kutoa pesa hovyo kwa wanawake, that's not investing, ni ufujaji wa pesa.
bulk sms au sio? upo sahihi wana script zao kabisa ilinikuta iyoUsibezwe mkuu. Wanawake wengi hapo Dar ndio wanavyoishi hivyo. Yaani wanaume wote (simps) walioomba namba amewatengenezea group la SMS au WhatsApp. Anaandaa SMS moja tu kuomba kiasi kidogo 5000 au 10k kisha ana forward kwa wote.
Let's say mpo 50. Kwako inaweza kuwa hela ndogo ila fikiri wanaotuma 25k, 20k wengine hadi 50k kum-impress mwanamke ambaye haba bikra hata moja. Yeye anaingiza 1M.
ilitukuta mimi na rafiki yangu tulipangwa kwa script moja wote na demu mmoja,sema jamaa sikumsanuabulk sms au sio? upo sahihi wana script zao kabisa ilinikuta iyo
Km hutaki kumpa mwanamke hela baki na upwiru wakoo.
Hakuna cha buree hapa, hata hizo sabuni na Vaseline, hampati bure, mnanunua kwa mangi au pharmacy.
Wee jipige la mkono, afu utulie kulinda hela zako.
πππππππ
Kwani unadhani wanaombaje mkuu?Alionwa 10k mkuu, tena binti alivyo mstaarabu aliomba akopeshwe
Tuzidi kuwafundisha hawa vijana, wanadhani kutoa pesa kizembe ni sifa. After all, sio kwa hawawanawake wa kizazi hiki, mnapangwa hata kumi na msijuane.watu wengi hatujielewi tu ila demu kuomba na kumpa kizembe uwa mademu wanatudharau sana na kutuona maboya tusio na akili,na unaweza kuta anaenda kupewa boy mwenzako na pia ni matumizi mabaya ya pesa
Duh kwa juu inaweza onekana ni ujanja, ila kiuhalisia sio vizuri, sababu wanaume wengine wanamtumia hela mdada kwa upendo, sio sababu ya show off, au kwamba wanayo ya ziada sana, kumbe mtu kwake ni mradi aliojiwekea, anawatumia tu hao wanaume.Usibezwe mkuu. Wanawake wengi hapo Dar ndio wanavyoishi hivyo. Yaani wanaume wote (simps) walioomba namba amewatengenezea group la SMS au WhatsApp. Anaandaa SMS moja tu kuomba kiasi kidogo 5000 au 10k kisha ana forward kwa wote.
Let's say mpo 50. Kwako inaweza kuwa hela ndogo ila fikiri wanaotuma 25k, 20k wengine hadi 50k kum-impress mwanamke ambaye haba bikra hata moja. Yeye anaingiza 1M.
π€£π€£π€£si bora wewe kuna demu kitaa nilimwongezea tsh 10,000 ya kodi nikapotezea,nikashangaa ananiambia nikamchue aje ghetto nikamwambia sawa baadae namcheck kapotea hewani siku nyingine nimemuita akaniambia nimnunulie umeme kwao umeisha na hana hela nikanunua na hajaja ,siku nyingine kaleta pigo izo izo za kununuliwa umeme ndo aje nikaona demu chenga nikampotezea ,nikaja kugundua ndo pigo zake kwa wanaume ana script yake iyo iyo,nikajisemea moyoni ndo maana uwa wanajeruhiwa tunawatetea kumbe issue uwa nikuchanganya wanaume na kula hela za wanaume.
Sasa mtu ana lengo la kuoa, mwanamke aliyemlenga kumbe ni kicheche, yanini aingie gharama zisizokuwa na faida?Mkuu unataka kuoa unaombwa 10 unalula chocho, utaweza kujitoa ukweni kweli mkuu
Ngoja nikupe assignment moja ndogo tu, kikubwa tumuombe Mungu uzima , chunguza huyo binti kama ana mahusiano ya maana, au kwa miaka inayokuja chunguza kama atakuja kuwa kwenye mahusiano ya maana k v uchumba unaoelekea ndoa, au aolewe na mwanaume wa maana..ilitukuta mimi na rafiki yangu tulipangwa kwa script moja wote na demu mmoja,sema jamaa sikumsanua
Lakini yeye alikua hataki kutoa upwiru ndo mana kaamua kumpotezeaKm hutaki kumpa mwanamke hela baki na upwiru wakoo.
Hakuna cha buree hapa, hata hizo sabuni na Vaseline, hampati bure, mnanunua kwa mangi au pharmacy.
Wee jipige la mkono, afu utulie kulinda hela zako.
πππππππ
Ila coca jamaniπKm hutaki kumpa mwanamke hela baki na upwiru wakoo.
Hakuna cha buree hapa, hata hizo sabuni na Vaseline, hampati bure, mnanunua kwa mangi au pharmacy.
Wee jipige la mkono, afu utulie kulinda hela zako.
πππππππ
Sawa mkuu kwa kunifundisha nidhamu pesa. Sasa hawatalamba kituπKwani unadhani wanaombaje mkuu?
Msione sifa kuwapa wanawake pesa kizembe, sms kama hiyo wanatumiwa wenzako kama kumi hivi.
Kuwa na nidhamu na pesa, zitakuja nyakati ambazo ungetamani kila senti imewekezwa.
Kwa hiyo ulikosa mbuni za kukataa kumpa elfu 10 au na wewe haukuwa nayo ?Habarini,
Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.
Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.
Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.
Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu π€ na sio hapanaπ€
Dunia imeharibika.
Wakuu mmekuwa wakali kisa 10k kazi wanayoSasa mtu ana lengo la kuoa, mwanamke aliyemlenga kumbe ni kicheche, yanini aingie gharama zisizokuwa na faida?
Halafu uelewe wanawake wengine kama hamtaki mwanaume, hutumia mbinu za vizinga ili kumkatisha tamaa mwanaume, siyo kwamba ukimpatia ataridhika na atatulia, hapana.
Wife material hata vocha haombi, shida zake na dhiki zake ataziexpose mkiwa katika mhusiano rasmi.
Siyo unaonesha sura tu kwa msichana eti keshaanza... 'kakanaomba'ela'...sijui 'naomba vocha'.. elewa kuwa huyo hajatulia, ni mdangaji kawaida kabisa.
Asipeleke mauaPesa ya kawaida sana hiyo tia hela mkuu