Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

Hapa ndipo ninaposusaga ngono nasubiri mpenzi jini aje kwenye ndoto nyevu nimpige PUMBU.

NGONO imekuwa kama ni jambo la lazima sana kwa mwanume.. mimi nilipie ngono, nilipie guest, hela ya kula n.k... na bado kwenye utamu wao wanainjoi zaidi, mie nakojoa 2 yeye anazo 6 huko.

Kwenye ngono wanawake wanafaidi kuliko sisi vidume..
Enzi zangu nikikugonga, sina shida nawe, naacha kazi ionge, utanitafutaga ukinihitaji..
 
Huna ela
 
Ndio shida ya wajinga wengi wanaabudu nyapu sana ndio maana wapo tayari kurisk chochote ilihali waipate mtoa mada Balqior upo sahihi achana na baadhi ya vizibo wa humu
 
Kiasi kinapimwa na uwezo ulionao, ila naamini 10k ipo ndani ya uwezo wa vijana wengi. Wapeni hawa mabint mtazidushiwa
Kama utakuwa mtu wa kutoa sana hela kwa mademu huwezi kumpata mwanamke sahihi na katika hao hao unaowapa hela wapo ambao hutaweza kuwala
 
Case closed
 
Alafu Kuna watu humu wanawatetea huo ni umalaya kumla mwanamke Kama huyu ni kukaribisha mikosi na laana
 
Wewe demu wako huwa unampa milion ngapi kwa week?
 
Upo sahii
 
Hii kitu kwa sasa ni changamoto kubwa
 
Akimpata wa kumjali atatulia huo mzinga ulikuwa na tafsiri mbili
1. Kukukataa kiaina
2. Kukupima upendo na kujali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…