Mnaokotaga wapi WA hivyoHabarini,
Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.
Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.
Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.
Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu π€ na sio hapanaπ€
Dunia imeharibika.
Moto π₯π₯.Roho za mizimu! FireβοΈFireβοΈ
Pigwaaaaa!!Moto π₯π₯.
Umkopeshe bila kumfira???, unamfira kwanza ndo unamkopesha au unamdolishia kabisa pesa hii hapa twende nikakupapase Tako Hilo nikakufutue rinda.Habarini,
Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza.
Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado, akaniambia nimkopeshe elf 10 atanirudishia, nikaona huyu nae wale wale, nikamwambia hiyo hela siwezi kumpa, akasema ok, hatukumaliza hata masaa 24 tangu nimechukua namba ya huyo binti.
Baada ya hapo hamna aliemtafta mwenzake.. mahusiano yakawa yameisha, nafikiri yanastahili kuingia Guinness world record kama one of the world's shortest relationships.
Najiuliza kwa hali hiyo huyo mtu akiolewa atakuja kua mke wa namna gani, nawaza tu, na hata kama hayupo interested, tangu lini kuomba mtu hela (wakati kuomba hela sio jambo baya) ikawa ni lugha ya kumkataa mtu π€ na sio hapanaπ€
Dunia imeharibika.
Sasa si angeweka tu wazi kuwa anauza uchi au nyuchi zake? π€£π€£π€£Km hutaki kumpa mwanamke hela baki na upwiru wakoo.
Hakuna cha buree hapa, hata hizo sabuni na Vaseline, hampati bure, mnanunua kwa mangi au pharmacy.
Wee jipige la mkono, afu utulie kulinda hela zako.
πππππππ
AstakhafirullahUmkopeshe bila kumfira???, unamfira kwanza ndo unamkopesha au unamdolishia kabisa pesa hii hapa twende nikakupapase Tako Hilo nikakufutue rinda.
Ndo nini, kama jitu Lina tamaa ya pesa acha lifirwe, limetaka lenyeweAstakhafirullah
Vijana wanazingua sana aiseeeWatu wanawakimbia wife material kisa buku 10
Kwani pia aliambiwa kuwa anagawa buree?Sasa si angeweka tu wazi kuwa anauza uchi au nyuchi zake? π€£π€£π€£
Kwamba Maka ulikua marioo wa bei ya jioniiiii?? ππππHapa ndipo ninaposusaga ngono nasubiri mpenzi jini aje kwenye ndoto nyevu nimpige PUMBU.
NGONO imekuwa kama ni jambo la lazima sana kwa mwanume.. mimi nilipie ngono, nilipie guest, hela ya kula n.k... na bado kwenye utamu wao wanainjoi zaidi, mie nakojoa 2 yeye anazo 6 huko.
Kwenye ngono wanawake wanafaidi kuliko sisi vidume..
Enzi zangu nikikugonga, sina shida nawe, naacha kazi ionge, utanitafutaga ukinihitaji..
Uko nje ya mada, mie sijaleta malalamiko kuhusu hizi njegekaa.Wewe demu wako huwa unampa milion ngapi kwa week?
Ndo maana ake.Case closed
Wee ndo mwanaume sasa, πππππUlichukua namba ili iweje!?... ni dada yako huyo!?
Kuombwa elf 10 tu unakuja kutangaza humu!... vipi ungeambiwa usaidie bili tu ya hospital anaumwa!?
Alikuwa anakuchekecha, na wewe ukajaa kwenye mfumo!
Ningekuwa ni mimi namtumia 25 na sitaki irudishwe!...
Iko siku anaileta mwenyewe! bila ya wewe kuiomba!.
Grow up young boy!.
Umeshajua ni mke wa mjeda, means ana ulinzi wa uchumi tayari, hapo kwako anafuata mgegedo heavy tyuuu.Wa Bure wapo wengi tu mbona yule mke wa afande wa hapo mitaa ya Nala
Huwa namkula bure na ananipa na hela
Kwa kweli. ππππππAlipokuomba umkopeshe elfu 10 ukaona "Huyu nae wale wale"
Swali langu kwako,
Ulimaanisha nini kusema Huyu nae wale wale? Hao wale wale ndio kina nani? Au ndio hua unakutana na wanawake wa hivyo siku zote?
Pengine hata yeye alikudharau kwa kutomkopesha hata elfu 10 tu,
Mkuu starehe gharama,wewe ulitaka akuombe baada ya muda gani ndio uone sawa? Hela ndogo sana hiyo,
Nakushauri achana na wanawake,tafuta hela kwanza.
Mie nikipata upwiru nitatafuta alternative ya kuondoa hali hiyo, na kuna namna nyingi, sio Ngono pekee.Wewe ukipata "upwiru" utatoa hela au utabaki nao?
Rhabhekhaaaaa!!! πππππIla coca jamaniπ
Una hakika asingeomba sex?? Em sema hapaaa.Lakini yeye alikua hataki kutoa upwiru ndo mana kaamua kumpotezea
πππππHahaha na mimi najua hilo ndio maana nikaku-tag uje