Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.
Nilitegemea serikali yenye akili ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao walizonazo kuudhibiti Upinzani
Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.
Sibishani