Kwa hali hii ya Kigoma, tujiandae kuzika

Kwa hali hii ya Kigoma, tujiandae kuzika

Ujinga wa mawazo.
Sie tunao tumia daladala tuna pumuliana visogoni,tulio sokoni ,makanisani na misikitini,
Ferry kwny ma boat na mabasi ya mikoani.treni n.k
Jeshini,Shuleni,vyuoni.
Bado nch nzima ina wagonjwa chini ya 200.
Nabaki nacheka tu huyu anaezusha ugonjwa kuepo,anatuchekesha sana.
Hii ya daladala. hua inanifanya no waze sana kuhusu hili gonjwa mtambuka
 
Huyo kirusi mpya ni tishio kiasi hiko? Binafsi sikumbuki mara ya mwisho ilikuwa lini kusikia marufuku ya mikusanyiko. It is just a media hype, mara Bugando imezidiwa na wagonjwa, sijui nini. Ugonjwa haujawa tishio hivyo, kama unaishi Dar ungeshaona tunavyojazana kwenye dalalada, na maisha yanaenda kama kawaida.
 
Ndio uzuri wa kenge, huwa hasikii hadi masikio yatoke damu
 
Anzeni KUTABIRI mazuri sasa!
Imekuwa fashion wadau humu kutabiri yasiyo mema na ukitafakari unagundua kuwa siyo utabiri bali ni MAOMBI.
 
Ujinga wa mawazo.
Sie tunao tumia daladala tuna pumuliana visogoni,tulio sokoni ,makanisani na misikitini,
Ferry kwny ma boat na mabasi ya mikoani.treni n.k
Jeshini,Shuleni,vyuoni.
Bado nch nzima ina wagonjwa chini ya 200.
Nabaki nacheka tu huyu anaezusha ugonjwa kuepo,anatuchekesha sana.
Money Talks brother
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.

Nilitegemea serikali yenye akili timamu ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao kidogo walizonazo kuudhibiti Upinzani

Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.

Sibishani
Unajiandaa kuzika badala ya kusema nawewe ujiandae kuzikwa?
Wewe unadhani corona inakuogopa?
Wajiandae na wewe ukiwamo.
 
Anzeni KUTABIRI mazuri sasa!
Imekuwa fashion wadau humu kutabiri yasiyo mema na ukitafakari unagundua kuwa siyo utabiri bali ni MAOMBI.
Basi wote waliokwenda Kigoma watarudi na chanjo ya Korona
 
Wazungu kule uingereza wamekili kuwa delta variant haizuliki kwa hizi chanjo uchwara
 
Tuko pamoja,kuna mtu anatwambia ulaya kuna nyomi na tuache kukariri,hii haina mantiki, si kila kitu cha ulaya tu copy tuuuu
Ila pia huyo ajue ulaya na kwingineko duniani enzi za kutotendeana haki na kubambikiana vyesi vya kubambikiana walipitia karne nyingi zilizopita.
 
Back
Top Bottom