Kwa hali hii ya Kigoma, tujiandae kuzika

Kama Ulaya wanakusanyika bila hata barakoa, sasa ujinga gani uliowafanya mkazuia Kongamano la CHADEMA kwa madai ya Korona? young man stop contradicting yourself
Walifanya hivyo kwakua aliyeitisha hilo kongamano aliwazuia watu wasihudhurie msiba wa kaka yake kwa kigezo cha UVIKO -19.

Unazuiaje mkusanyiko nyumbani kwako, alafu hata kabla wiki haijaisha unakwenda kuitisha mkusanyiko kwenye mkoa wa watu?

Kiufupi unafiki wa huyo jamaa ndio umemponza.
 
Wewe ndio mgonjwa kabisa
 
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.

Nilitegemea serikali yenye akili timamu ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao kidogo walizonazo kuudhibiti Upinzani

Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.

Sibishani
Good meseji.
 
Maradhi yapo kweli, ila kutiana tafrani nako kunachangia.
Wakati nchi inakataa uwepo wa ugonjwa huu tulikuwa tunaona hali ikiwa shwari. Sasa nchi imekubali ugonjwa upo imeanza kuwa tafrani time.

Anyways chanjo zipo na watu waache kuilaumu serikali. Kwani hamkuambiwa kuwa ugonjwa upi nchini na serikali tena kirusi cha India?
 
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.

Nilitegemea serikali yenye akili timamu ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao kidogo walizonazo kuudhibiti Upinzani

Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.

Sibishani
Mlisema hivyo baada ya kifo cha Magufuri,baada ya watu kukusanyika katika uwanja wa taifa,mkasema hivo Kilimarath on Arusha, wengine walisema baada ya msiba wa Magufuri watu wataanza kuokotwa barabarani akuna kilichotokea,Mbatia naye juzi katabiri, Wazungu nao walishaitabiria Tanzania, nawewe umekuwa miongoni mwao.Nyote mnaotabiri mabaya juu ya Nchi na wananchi Wake mtashindwa vibaya.
 
To be honest,haiingii akilini,maagizo yanayotolewa katika mikoa karibu yote yanasema mikusanyiko isiyo ya lazima ni marufuku,hapohapo mechi ya soka inaruhusiwa,tena ya maelfu ya watu,ambayo kupata mwakilishi imeshakuwa rahisi...kutafakari/ kutumia za kuzaliwa ni muhimu....
 
Broo Leo tumezika mume na mke yaani mume alikufa jumatatu mke kafa jumanne........delta ipo na inauwa nimeshuhudia vifo vya hili wimbi ni Vingi na watu bado hawapo makini jihadharini serikali pazeni sauti kuokoa raia
 
Hebu soma ulichoandika kwanza Hasa hio mistari mitatu ya mwisho. Nimekuwekea picha ili upunguze ujinga, hayo ni matakwimu ya CCM

View attachment 1866713

View attachment 1866714

View attachment 1866715
Uliko lalia ndiko niliko amkia Bro.
Yaliyonyuma ya haya ni makubwa kuliko uezo wako.
Uhalisia ulivyo mtaani sivyo unavyoandikwa magazetini.
Watu wataingia uwanjani na mpira utchezwa na hivo vifo unavyosema huta viona.
Wanaotangazia watu kuna Corona ndio haohao wanaowakusanya kwny mikutano na kusema hayo.
Kwaa taarfa yako.
Acha nikujuze,Jua tu chanjo ikianza hali itakua mby kuliko sasa wakati ambao watu hawajachanjwa.
Utarudi ku kuni qoute siku zijazo.
 
Hawa watu wanashangaza sana Mkuu. Serikali imepiga marufuku mikusanyiko ya watu nashangaa kule Twitter namsoma yule Ummy Mwalimu anahimiza watu waende uwanjani kuishangalia Coastal Union katika mchezo wao ná Pamba. Majaliwa, Mpango na Mwigulu wanazurura sehemu mbali mbali nchini na kusababisha mikusanyiko ya watu. Tusishangae kabisa kama idadi ya maambukizi na vifo itakuwa ya kutisha katika mikoa mingi nchini kwa uzembe wa hii Serikali.
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.

Nilitegemea serikali yenye akili timamu ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao kidogo walizonazo kuudhibiti Upinzani

Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.

Sibishani
 
Siandiki kumkirefutisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.

Nilitegemea serikali yenye akili timamu ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao kidogo walizonazo kuudhibiti Upinzani

Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.
Ki
Sibishani
Kirefu Cha cdo ninini?
 
acha uchuro mzee wangu. kama una njaa na pesa za wazungu waambie unataka kuzika familia yako wakupe.
 
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.

Nilitegemea serikali yenye akili timamu ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao kidogo walizonazo kuudhibiti Upinzani

Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.

Sibishani
Tanzaniaaa eeeehhhhh nchi yangu...
 
Back
Top Bottom