Kwa hali hii ya Kigoma, tujiandae kuzika

acha uchuro mzee wangu. kama una njaa na pesa za wazungu waambie unataka kuzika familia yako wakupe.
Duh, mnakataa hadi facts? Aliyesema Kigoma kuna maambukizi sio mimi wala familia yangu ambayo unaitaja hapa, ni VP last week, sasa kwakua unaropoka tu hujui kitu unamwamini MTU aliyekufa kwa Covid Haya sawa

IMG-20210724-WA0081.jpg

IMG-20210724-WA0076.jpg
 
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.

Nilitegemea serikali yenye akili timamu ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao kidogo walizonazo kuudhibiti Upinzani

Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.

Sibishani
Naona sasa wanataka kukishuhudia watani zangu Waha.

wanaongoza kwa ubishi ati hakuna korona sasa watajionea wenyewe.

Washabiki kutoka mwanza na Kilimanjaro mtuwakilishe huko
 
Ujinga wa mawazo.
Sie tunao tumia daladala tuna pumuliana visogoni,tulio sokoni ,makanisani na misikitini,
Ferry kwny ma boat na mabasi ya mikoani.treni n.k
Jeshini,Shuleni,vyuoni.
Bado nch nzima ina wagonjwa chini ya 200.
Nabaki nacheka tu huyu anaezusha ugonjwa kuepo,anatuchekesha sana.
N
Mpaka Sasa Haku a mqana huo kafa form six kafa, for. Four kafa, watakaojichanganya Na qaf
Wafe ikiwa hawakuqa wangaluru
 
Mkuu japo umeandika Kisasa zaidi.
Ila Tukiacha tu masikhara,Mungu kaliaatamia sana Taifa hili.
Yaani huku mtaani ninapo ishi naona wananchi wanavyowapuuza wanaoleta taharuki ya Uviko,hawamuelewi kabisa hata yule anaewaambia vaen barokoa.
Barakoa zinavaliwa mahakamani,hosptalini/zahanati na ofisi za umma tu.
Huku betting station n.k hawaelewi kabisa.
Basi tu tuseme ugonjwa upo kwa wachache na Mungu nae yupo kwa wengi.
 
We dogo usitishe Watu.....! Nendeni mkazikane wenyewe wewe na ukoo wenu... WaTz Wengine achana nao... Kama CDM watakuunga Mkono kivyako vyako...Usiituletee Uchuro..!
 
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.

Nilitegemea serikali yenye akili timamu ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao kidogo walizonazo kuudhibiti Upinzani

Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.

Sibishani
Mbona Siku ya kumuaga marehemu Magufuli ,kwa siku NNE.Ilisemekana kuna Covid na watu watakufa sana.Lakini hakuna kilichotokea.Mm nafikiri hii covid haiambukizi hivyo.
 
Comorbidities zinajulikana,wale wenye uzito mkubwa,wazee na the immuno-compromised tuwe makini...Huu ugonjwa umekuta kwA bahati nzuri asilimia kubwa ya waTanzania ni under 40, ndo maana haujatupiga kivile...
 
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.

Nilitegemea serikali yenye akili timamu ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao kidogo walizonazo kuudhibiti Upinzani

Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.

Sibishani
HAFI MTU ule ni MKUSANYIKO wa LAZIMA Corona ITAKIMBIA YENYEWE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.

Nilitegemea serikali yenye akili timamu ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao kidogo walizonazo kuudhibiti Upinzani

Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.

Sibishani
UK Imeondoaaa vizuizivyoteeeee ogopaakufaa
 
Mbona Siku ya kumuaga marehemu Magufuli ,kwa siku NNE.Ilisemekana kuna Covid na watu watakufa sana.Lakini hakuna kilichotokea.Mm nafikiri hii covid haiambukizi hivyo.
Ila sie binadamu bhana..... Hivi ulikua na register ya watu wanaokufa nchini mpaka useme hakuna watu waliokufa? Au wewe ndo Malaika mtoa roho hadi umefikia hatua ya kujua statistics za watu waliokufa?

People are dying every minute and second mkuu. Usijesema watu hawakufa sababu hujasikia.

People are dying mkuu, acheni siasa kwenye scientific facts. Na kamwe hutosikia sababu maybe huna ndugu au rafiki ya karibu ambae atakua alipoteza maisha kwa tatizo la changamoto ya upumuaji na hakua na history yoyote ya pumu wala kifua chochote unachokijua wewe.
 
Ujinga wa mawazo.
Sie tunao tumia daladala tuna pumuliana visogoni,tulio sokoni ,makanisani na misikitini,
Ferry kwny ma boat na mabasi ya mikoani.treni n.k
Jeshini,Shuleni,vyuoni.
Bado nch nzima ina wagonjwa chini ya 200.
Nabaki nacheka tu huyu anaezusha ugonjwa kuepo,anatuchekesha sana.
Nyie hamaga akili kbs nyie chadema
JamiiForums-1797793390.jpg
 
Corona ipo na inaua....
Ila sio kila mtu na sio kwa kiwango mnachotaka tuamini, ukijijua umri umekwenda au afya yako tia maji maji epuka mikusanyiko kabisa.
 
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.

Nilitegemea serikali yenye akili timamu ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao kidogo walizonazo kuudhibiti Upinzani

Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.

Sibishani
Rubbish.
 
Ujinga wa mawazo.
Sie tunao tumia daladala tuna pumuliana visogoni,tulio sokoni ,makanisani na misikitini,
Ferry kwny ma boat na mabasi ya mikoani.treni n.k
Jeshini,Shuleni,vyuoni.
Bado nch nzima ina wagonjwa chini ya 200.
Nabaki nacheka tu huyu anaezusha ugonjwa kuepo,anatuchekesha sana.
Wagonjwa chini ya mi2, acha uongo wewe ikiwa waziri kashasema tunakimbilia buku huko
 
Back
Top Bottom