Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa RPCs na RCs waliozuia mikusanyiko kwenye mikoa yapo na wale waliozuia makongamano ya CHADEMA ni wajinga wa mawazo? Au COVID19 inaambukishwa kwenye mikusanyiko inayohusisha chadema tu> Maana tumeona kinamwigulu nchemba, kina mabula wakifanya mikutano ya hadhara bila kusumbuliwa.
Mkuu mm sipo ktk mlengo wowote wa kisiasa.
Hao Rpcs na Rcs wanawapa sababu kuzuia makangamano kama walivyoona na wanavyojua wao.
Kulingana na Serekali inatakaje.
Hata hivyo RPCs hawakosagi sababu ya zuio lolote la mikusanyiko au maandamano never hawawawezi kosa.
Yaani wazuie tu bila kutoa maelezo kwann wamezuia,haiwezekani.
Toka miaka hiyo ya awamu ya 4.
Hata kama Covid isinge kuepo km wamekusudia kuzuia makongamano/mandamano wangezuia tu.
Rejea Kabla mwezi March 2020.
Hatukua na Uviko na mikutano ilizuiliwa.
Hebu toka nje ya siasa ubaki free alafu utazame mtaan kwako, Je wananchi wanafuata kile viongozi wakisiasa wanachoelekeza?
Je Waumini wanawasiliza viongozi wa dini juu ya maelekezo ya Uviko?
Je umetembelea kwny mikusanyiko ya maisha ya kawaida isiyoitishwa na Viongozi wa dini au siasa ukaona uhalisia?
Umesafiri na ukapanda usafiri wa uma,uliona uhalisia ndani ya chombo cha usafiri?
Je unapenda michezo?
Umeona uhalisia viwanjani na sports betting stations?
Sehem za umma ni nyingi mno..
Tuache walio hai,
Jaribu uende Hosptl za Rufaa kisha chungulia au ulizia kule waliko wagonjwa wenye changamoto ya upumuaji ujiridhishe mwenyewe.
Tuache hao wagonjwa,Nenda makaburini,ya dini zote.
Angaza angaza makaburi mapya.
Ukifanikisha zoezi hili nahakika utarudi na majibu au maswali mengi sana Kichwani mwako.
Think freely