NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Wamepiga marufuku misongamano isiyo ya lazima (hasahasa ya wapinzani) ila misongamano ya lazima (zikiwemo ziara za viongozi wa CCM, michezo, n.k) ni ruksa kwa kuwa hakuna maambukizi ya UVIKO - 19.Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.
Nilitegemea serikali yenye akili ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao walizonazo kuudhibiti Upinzani
Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.
Sibishani
Euro ulikua unafuatilia?Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.
Nilitegemea serikali yenye akili ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao walizonazo kuudhibiti Upinzani
Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.
Sibishani
Kwenda uwanjani kuangalia mechi ya mpira ni mkusanyiko wa lazima. Kwa hiyo ruksa kwenda. Kwenda ukumbini ambapo social distancing na uvaaji wa barakoa unazingatiwa ili kushiriki kongamano la kudai katiba si mkusanyiko wa lazima kwa hiyo polisi wanazuia!Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.
Nilitegemea serikali yenye akili ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao walizonazo kuudhibiti Upinzani
Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.
Sibishani
Sibishani huwa nikiongea ndio inakuaga final. Nikikujibu inabidi ufurahiEuro ulikua unafuatilia?
Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.
Nilitegemea serikali yenye akili ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao walizonazo kuudhibiti Upinzani
Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.
Sibishani
Acha hizo.....Ulaya tu tunaona Watu wakiwa Nyomi tena bila Barakoa..! Acha kukariri
Watu ni wabishi na wagumu kuelewa.Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.
Nilitegemea serikali yenye akili ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao walizonazo kuudhibiti Upinzani
Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.
Sibishani
SawaKama huna magonjwa mengine, corona haina Shida kwa umri wa Vijana wa Kitanzania. Pima afya yako.
CCM wanabisha na kutukanaWatu ni wabishi na wagumu kuelewa.
Siku hizi raha sana, watu tunajimwayamwaya tunavyotaka. Zamani ilikua mtu hawezi kuzungumzia mambo ya Covid19.Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.
Nilitegemea serikali yenye akili ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao walizonazo kuudhibiti Upinzani
Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.
Sibishani
Mungu anailinda Tanzania, hayo unayoyaomba hayatatokea kamwe.Siandiki kumtisha MTU, ndio ukweli mtupu! Kigoma tayari kulikua na maambukizi makubwa sana kwa mujibu wa VP akiwa Makere-Kasulu alitamka hivyo.
Nilitegemea serikali yenye akili ingeweza hata kuwaelimisha watu wake kuhusu hii mikusanyiko, matokeo yake wamehamishia akili zao walizonazo kuudhibiti Upinzani
Kwa hali ya Kigoma, wala hakuna haja ya kusali wala kuomba, tujiandae tu kuzika au kusafirisha in coming few days.
Sibishani
Mbowe alizuia watu wasiende kwenye msiba wa kaka yake kwa sababu ya corona na akauambia umma kaka yake amefariki kwa corona niliposhangaa alizuia watu msibani ila kongamano la katiba ruksa hii imekaaje mkuu huu si ugaidi kabisaKama Ulaya wanakusanyika bila hata barakoa, sasa ujinga gani uliowafanya mkazuia Kongamano la CHADEMA kwa madai ya Korona? young man stop contradicting yourself
Yeah ni Ugaidi kama ukiwa na akili za kipuuzi kama zako, tunazungumzia National Interest wewe unaongea ujingaMbowe alizuia watu wasiende kwenye msiba wa kaka yake kwa sababu ya corona na akauambia umma kaka yake amefariki kwa corona niliposhangaa alizuia watu msibani ila kongamano la katiba ruksa hii imekaaje mkuu huu si ugaidi kabisa
Huu nauitaga ujinga na upunguani was baadhi ya Proccm! Waliokusanyika Kigoma ni Watz sio sana Chadema. Nyie ni wajinga. Kila kitu mnaweka siasa, pumbavuMungu anailinda Tanzania, hayo unayoyaomba hayatatokea kamwe.
Nikukumbushe kuwa kiongozi wa chama chako unachoshabikia aliwahi kuwakataza wabunge wa chama chake wasihudhurie katika lile bunge la bajeti mwaka 2020 kwa sababu alibet hivyo hivyo kuwa kuna wabunge watakufa kwa corona. Matokeo yake hakuna mbunge aliyekufa na pia baadhi ya wabunge wa chama chake walimgomea na kuhudhuria na kwa hasira akaamua kuwafukuza uanachama, hata hivyo matarajiio yake yalibackfire.
Endelea kupiga kelele hapa jf lakini maisha yanasonga mbele bila hizo alinacha zenu kutimia.
Sijawahi kuacha kuzungumza, tena ndio kipindi hicho Account yangu ikawa VerifiedSiku hizi raha sana, watu tunajimwayamwaya tunavyotaka. Zamani ilikua mtu hawezi kuzungumzia mambo ya Covid19.
Wanasema Chadema Mara Mbowe, too lowMashabiki wanadondoka hukoo....ila watu hawana habari..