MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Wewe ni mwananchi mpumbavu sana. Kama timu inayobebwa inaishia robo, kwa nini ambaye habebwi ameshindwa kuvuka makundi!?Hii ni aibu kwa Ligi yetu, si bure baadhi ya vilabu vinabebwa Ligi kuu ila kule CAF miaka nenda rudi timu inaishia Robo fainali haijawahi kuvuka hatua hiyo, Ni kama laana, Timu inakosa hata medali moja ya CAF ila ukija katika ngazi ya Ligi inaonekana timu bora kumbe kuna bahasha na makosa ya waamuzi yakiwabeba
Huo umri unahusiana nini na medali? Medali imekuwa barafu kwamba inayeyuka? π au kombe la Stella manyanya ndiyo picha yake ipo?Inategemea na umri wako kujua kama timu hiyo ina medali ya CAF au la,lakini timu inayobebwa na akina Kayoko imedhihirika baada kutupwa nje kimataifa ambako hakuna akina Kayoko wala matawi kama Singida na Dodoma Jiji wanayoweza kupanga nayo matokeo kwa kuwachagulia wachezaji wa kucheza dhidi yao
Ananyosha kidole kimoja kuinyooshea Simba ila maskini wala hajagundua vidole vyake vitatu vinamgeukia yeye mwenyewe.Wewe ni mwananchi mpumbavu sana. Kama timu inayobebwa inaishia robo, kwa nini ambaye habebwi ameshindwa kuvuka makundi!?
Wewe ndiye Mpumbavu, kuthibitisha hilo ona unavyojigongagonga, Kwa hiyo kwakuwa habebwi ulitaka alazimishe kwenda CAF bila uwezo? Medali zinapatikana kiuhalali si kwa janja janjaWewe ni mwananchi mpumbavu sana. Kama timu inayobebwa inaishia robo, kwa nini ambaye habebwi ameshindwa kuvuka makundi!?
Wewe ndiye Mpumbavu, kuthibitisha hilo ona unavyojigongagonga, Kwa hiyo kwakuwa habebwi ulitaka alazimishe kwenda CAF bila uwezo? Medali zinapatikana kiuhalali si kwa janja janja
Yanga ina makombe mangapi ya Ligi Kuu!?Huo umri unahusiana nini na medali? Medali imekuwa barafu kwamba inayeyuka? π au kombe la Stella manyanya ndiyo picha yake ipo?
Hiyo CAFCL ya 1993 ni ya hapo Temeke au Buguruni?π Ndiyo maana mkiitwa mbumbumbu hamtakiwi kubisha. Hizo medali zisizoonekana wala zisizo na picha eti mmevalishwa na waziri wa maji πππ Mbumbumbu siku zote ni mbumbumbuAsiyebewa ni nani !? Eti medali ya CAF!? Zile za 1993 zilikuwa za FAT!? Au za utopolo ndio walitoa!?
30Yanga ina makombe mangapi ya Ligi Kuu!?
Ungekuwa na umri mkubwa kidogo ungeelewa kombe la CAF lilikuwaje lakini kwa sababu ni mtoto wa 2000 itabidi usikilize kila anachosema Mwalimu YangaHuo umri unahusiana nini na medali? Medali imekuwa barafu kwamba inayeyuka? π au kombe la Stella manyanya ndiyo picha yake ipo?
Kuna tofauti ya Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza mbona unahesabu makombe yote pamoja!? Au umesahau kuwa mnadai fainali ya Simba 1993 mnaikataa!? Majina tofauti haiapply hapa kwa Yanga!?
Ahaa kumbe yanga haina uwezo sasa mbona unawalalamikia wenye uwezo? Unataka tukusaidie nini?Wewe ndiye Mpumbavu, kuthibitisha hilo ona unavyojigongagonga, Kwa hiyo kwakuwa habebwi ulitaka alazimishe kwenda CAF bila uwezo? Medali zinapatikana kiuhalali si kwa janja janja
Ndio maana aliyetuita "hatuna akili ila baba yake na Kikwete" aliletwa kuja kuwa msemaji na tajiri wetu tukakaa kimya huku tukiumia moyoni.Hiyo CAFCL ya 1993 ni ya hapo Temeke au Buguruni?π Ndiyo maana mkiitwa mbumbumbu hamtakiwi kubisha. Hizo medali zisizoonekana wala zisizo na picha eti mmevalishwa na waziri wa maji πππ Mbumbumbu siku zote ni mbumbumbu