Kwa hali hii ya kubebwa Ligi kuu si bure miaka yote timu inaishia robo fainali haijawahi kuvuka wala kupata hata medali CAF

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Hii ni aibu kwa Ligi yetu, si bure baadhi ya vilabu vinabebwa Ligi kuu ila kule CAF miaka nenda rudi timu inaishia Robo fainali haijawahi kuvuka hatua hiyo, Ni kama laana, Timu inakosa hata medali moja ya CAF ila ukija katika ngazi ya Ligi inaonekana timu bora kumbe kuna bahasha na makosa ya waamuzi yakiwabeba
 
Inategemea na umri wako kujua kama timu hiyo ina medali ya CAF au la,lakini timu inayobebwa na akina Kayoko imedhihirika baada kutupwa nje kimataifa ambako hakuna akina Kayoko wala matawi kama Singida na Dodoma Jiji wanayoweza kupanga nayo matokeo kwa kuwachagulia wachezaji wa kucheza dhidi yao
 
Wewe ni mwananchi mpumbavu sana. Kama timu inayobebwa inaishia robo, kwa nini ambaye habebwi ameshindwa kuvuka makundi!?
 
Huo umri unahusiana nini na medali? Medali imekuwa barafu kwamba inayeyuka? 😀 au kombe la Stella manyanya ndiyo picha yake ipo?
 
Ananyosha kidole kimoja kuinyooshea Simba ila maskini wala hajagundua vidole vyake vitatu vinamgeukia yeye mwenyewe.
 
Wewe ni mwananchi mpumbavu sana. Kama timu inayobebwa inaishia robo, kwa nini ambaye habebwi ameshindwa kuvuka makundi!?
Wewe ndiye Mpumbavu, kuthibitisha hilo ona unavyojigongagonga, Kwa hiyo kwakuwa habebwi ulitaka alazimishe kwenda CAF bila uwezo? Medali zinapatikana kiuhalali si kwa janja janja
 
Asiyebewa ni nani !? Eti medali ya CAF!? Zile za 1993 zilikuwa za FAT!? Au za utopolo ndio walitoa!?

Hiyo CAFCL ya 1993 ni ya hapo Temeke au Buguruni?😀 Ndiyo maana mkiitwa mbumbumbu hamtakiwi kubisha. Hizo medali zisizoonekana wala zisizo na picha eti mmevalishwa na waziri wa maji 😀😀😀 Mbumbumbu siku zote ni mbumbumbu
 
Huo umri unahusiana nini na medali? Medali imekuwa barafu kwamba inayeyuka? 😀 au kombe la Stella manyanya ndiyo picha yake ipo?
Ungekuwa na umri mkubwa kidogo ungeelewa kombe la CAF lilikuwaje lakini kwa sababu ni mtoto wa 2000 itabidi usikilize kila anachosema Mwalimu Yanga
 
Kuna tofauti ya Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza mbona unahesabu makombe yote pamoja!? Au umesahau kuwa mnadai fainali ya Simba 1993 mnaikataa!? Majina tofauti haiapply hapa kwa Yanga!?
 
Wewe ndiye Mpumbavu, kuthibitisha hilo ona unavyojigongagonga, Kwa hiyo kwakuwa habebwi ulitaka alazimishe kwenda CAF bila uwezo? Medali zinapatikana kiuhalali si kwa janja janja
Ahaa kumbe yanga haina uwezo sasa mbona unawalalamikia wenye uwezo? Unataka tukusaidie nini?
 
Hiyo CAFCL ya 1993 ni ya hapo Temeke au Buguruni?😀 Ndiyo maana mkiitwa mbumbumbu hamtakiwi kubisha. Hizo medali zisizoonekana wala zisizo na picha eti mmevalishwa na waziri wa maji 😀😀😀 Mbumbumbu siku zote ni mbumbumbu
Ndio maana aliyetuita "hatuna akili ila baba yake na Kikwete" aliletwa kuja kuwa msemaji na tajiri wetu tukakaa kimya huku tukiumia moyoni.
 
Anayebebwa ni yanga ambaye hana uwezo ndio maana kaishia makundi.

Simba yupo zake robo huko anaenjoy tu hapa tunamsubiri mshindi kati ya atletico madrid vs real madrid tucheze naye.

SIMBA BINGWA
 
Back
Top Bottom