Hawana shida jiunge tuNdio hivyo wakuu maisha yamekuwa magumu mno aisee!
Hamna hata chembe ya tumaini!
View attachment 3613032
Daah!Hauko peke yako mkuu , tuko wengiView attachment 3613031
Hivi walokole mlishindwa kabisa kukemea yale ya october 29 yasitokee🚴♀️🚴♀️🚴♀️🚴♀️BORA UOKOKE UWE SALAMA KABISA, UKIJIUNGA HUKO KWA WACHAWI NAKUHAKIKISHIA
LAZIMA ATAKUA LOFA HUYO HASA ALIEPIGWA NA MAISHA KWA UVIVU WAKENdio hivyo wakuu maisha yamekuwa magumu mno aisee!
Hamna hata chembe ya tumaini!
View attachment 3613032

wanashindwa kulipa rent ya jengo lao mpaka wanatimuliwaFree mason wenyewe wanadaiwa kodi
Freemason wenyewe maskini tuMakao makuu yapo wapi ndugu yangu