Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Freemason si kikundi cha makapuku.
Na wala hawataki na hawakubali mtu maskini ajiunge na chama chao.
Hakuna pesa za bure freemason.
Freemason ni kikundi cha watu ambao tayari ni matajiri. Na wana nguvu kubwa kifedha na wana ushawishi mkubwa kiuchumi.
Tatizo la waafrika wengi walisha danganywa kwamba, freemason ni kikundi chenye hela na hata ukiwa maskini una ungana nao kwa kutoa kafara. Kumbe ni propaganda tu.
Mwaka jana 2025, Freemason Hall in Nairobi ilifungwa kutokana na madeni makubwa ya kodi waliyoshindwa kulipa.
Source hii hapa...👇
Source: NTV Kenya NTV Kenya: Nairobi County officials raid Freemasons Hall over Sh19m land rates debt
Source: Kenyans.co.ke Nairobi County Shuts Down Freemason Church
Sasa fikiria freemason wenyewe wanaingia kwenye madeni makubwa ya kodi. Halafu wakupe hela za bure wewe maskini.
Haipogo hiyo.
There's no free lunch. Hakuna pesa za bure freemason.