Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
UNAUSIKIA HUUJUI, UKITAKA KUUJUA NAKUSHAURI CHAGUA KUOKOKA.Kwamba walokole wanaweza kupiga freemason!
Ulokole huu huu tunaoujua?
Kabisa mkuu.Free mason wenyewe wanadaiwa kodi
Kumbukumbu la Torati 8:18Freemason si kikundi cha makapuku.
Na wala hawataki na hawakubali mtu maskini ajiunge na chama chao.
Hakuna pesa za bure freemason.
Freemason ni kikundi cha watu ambao tayari ni matajiri. Na wana nguvu kubwa kifedha na wana ushawishi mkubwa kiuchumi.
Tatizo la waafrika wengi walisha danganywa kwamba, freemason ni kikundi chenye hela na hata ukiwa maskini una ungana nao kwa kutoa kafara. Kumbe ni propaganda tu.
Mwaka jana 2025, Freemason Hall in Nairobi ilifungwa kutokana na madeni makubwa ya kodi waliyoshindwa kulipa.
Source hii hapa...π
Source: NTV Kenya NTV Kenya: Nairobi County officials raid Freemasons Hall over Sh19m land rates debt
Source: Kenyans.co.ke Nairobi County Shuts Down Freemason Church
Sasa fikiria freemason wenyewe wanaingia kwenye madeni makubwa ya kodi. Halafu wakupe hela za bure wewe maskini.
Haipogo hiyo.
There's no free lunch. Hakuna pesa za bure freemason.
Hizi hekaya za Biblia mpelekee Bibi yako kule kijijini akazisome.Kumbukumbu la Torati 8:18
Mambo ya Nyakati 29:12
Mithali 10:22
Waebrania 13:5
Mathayo 6:33
Hiki chuma lazima uibuke na UTI suguElfu yangu 5 nimesha lipia hapa nimefungiwa sehem napunguza stress za ugumu wa maisha...πView attachment 3613060
π kwanini UTI inapimwa kwa machoHiki chuma lazima uibuke na UTI sugu
Na uzoefu wa miaka 30 bwasheeπ kwanini UTI inapimwa kwa macho
kwenye tasnia ya mapenzi au MD?Na uzoefu wa miaka 30 bwashee
Tasnia ya kupima kwa machokwenye tasnia ya mapenzi au MD?
Acha upuuzi πTasnia ya kupima kwa macho
Avae mpira kwa wivu mkubwa , tofauti na hapo akaripoti makao makuu ya Azuma new dehi indiaAcha upuuzi π
kwaio jamaa apige dry sio
Boya wewe π πAvae mpira kwa wivu mkubwa , tofauti na hapo akaripoti makao makuu ya Azuma new dehi india
Nimemaliza bwashee, yangu macho tuBoya wewe π π
pamoja mkaliNimemaliza bwashee, yangu macho tu
Ulizia Pyramid tampleMakao makuu yapo wapi ndugu yangu