PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 429
- 925
Kwa hali ilivyo mpaka sasa ningecheza karata moja ambayo watu wasinge amini macho yao.
Maana sina cha kupoteza, sasa ili kumaliza hiki kipindi kilichobaki ili nikapumzike zangu lakini pia niwe nimeweka historia na niendelee kuheshimika hata nikiondoka.
Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha awe waziri mkuu. Alafu nimweke awe mshauri wangu, tushirikuane tuirudishe heshima ya nchi yetu..lakini pia nataka aninyooshee serikali.
Yaani sitaki upuuzi kwenye taasisi za umma, maslahi ya wananchi ndo yawe kipaumbele.
Kuhusu wale wana mtandao itakula kwao, maana wao ndo wamenifikisha hapa na hawana msaada.. sasa ningewasaliti vibaya sana. Tena ningewanyoosha.
Nafikiri kwa kiasi fulahi nitakuwa nimepunguza machungu ya watu.
Alafu mwisho wa siku kabla sijaondoka nawapa katiba yao mpya waliokuwa wanaitaka na tume ya uchaguzi huru wanayoitaja. Alafu namaliza zangu naenda zangu kupumzika hukooo.