Kwa hali ilivyo mpaka sasa, ingekuwa ni mimi ningecheza karata moja tu na ndo iliyobaki

Kwa hali ilivyo mpaka sasa ningecheza karata moja ambayo watu wasinge amini macho yao.

Maana sina cha kupoteza, sasa ili kumaliza hiki kipindi kilichobaki ili nikapumzike zangu lakini pia niwe nimeweka historia na niendelee kuheshimika hata nikiondoka.

Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha awe waziri mkuu. Alafu nimweke awe mshauri wangu, tushirikuane tuirudishe heshima ya nchi yetu..lakini pia nataka aninyooshee serikali.

Yaani sitaki upuuzi kwenye taasisi za umma, maslahi ya wananchi ndo yawe kipaumbele.

Kuhusu wale wana mtandao itakula kwao, maana wao ndo wamenifikisha hapa na hawana msaada.. sasa ningewasaliti vibaya sana. Tena ningewanyoosha.
Nafikiri kwa kiasi fulahi nitakuwa nimepunguza machungu ya watu.

Alafu mwisho wa siku kabla sijaondoka nawapa katiba yao mpya waliokuwa wanaitaka na tume ya uchaguzi huru wanayoitaja. Alafu namaliza zangu naenda zangu kupumzika hukooo.

Sio jambo rahisi, Lisu kanyoka hawataenda Pamoja na wezi, ili Lisu aweze ongoza lazima awe juu maana character yake sio rahisi kuwa chini ya mtu
 
Kwa hali ilivyo mpaka sasa ningecheza karata moja ambayo watu wasinge amini macho yao.

Maana sina cha kupoteza, sasa ili kumaliza hiki kipindi kilichobaki ili nikapumzike zangu lakini pia niwe nimeweka historia na niendelee kuheshimika hata nikiondoka.

Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha awe waziri mkuu. Alafu nimweke awe mshauri wangu, tushirikuane tuirudishe heshima ya nchi yetu..lakini pia nataka aninyooshee serikali.

Yaani sitaki upuuzi kwenye taasisi za umma, maslahi ya wananchi ndo yawe kipaumbele.

Kuhusu wale wana mtandao itakula kwao, maana wao ndo wamenifikisha hapa na hawana msaada.. sasa ningewasaliti vibaya sana. Tena ningewanyoosha.
Nafikiri kwa kiasi fulahi nitakuwa nimepunguza machungu ya watu.

Alafu mwisho wa siku kabla sijaondoka nawapa katiba yao mpya waliokuwa wanaitaka na tume ya uchaguzi huru wanayoitaja. Alafu namaliza zangu naenda zangu kupumzika hukooo.
Ikiwa hao wanamtandao ndo wamekuweka hapo kwenye kiti unaanzaje kuwasariti ?
Kabla hata hujafika huko watakuwa washakutanguliza mbele za haki chap na haraka!
 
Kwa hali ilivyo mpaka sasa ningecheza karata moja ambayo watu wasinge amini macho yao.

Maana sina cha kupoteza, sasa ili kumaliza hiki kipindi kilichobaki ili nikapumzike zangu lakini pia niwe nimeweka historia na niendelee kuheshimika hata nikiondoka.

Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha awe waziri mkuu. Alafu nimweke awe mshauri wangu, tushirikuane tuirudishe heshima ya nchi yetu..lakini pia nataka aninyooshee serikali.

Yaani sitaki upuuzi kwenye taasisi za umma, maslahi ya wananchi ndo yawe kipaumbele.

Kuhusu wale wana mtandao itakula kwao, maana wao ndo wamenifikisha hapa na hawana msaada.. sasa ningewasaliti vibaya sana. Tena ningewanyoosha.
Nafikiri kwa kiasi fulahi nitakuwa nimepunguza machungu ya watu.

Alafu mwisho wa siku kabla sijaondoka nawapa katiba yao mpya waliokuwa wanaitaka na tume ya uchaguzi huru wanayoitaja. Alafu namaliza zangu naenda zangu kupumzika hukooo.
Wakati unapanga kuwasaliti hao wanamtandao wao wanakuangalia tu?
 
..

...... Omaaan
 
Lissu kashawagomea - hataki kutoka gelezani kwa masharti au ahadi ya vyeo.
 
Nani alimzuia tundu kuingia kwenye uchaguzi? Yeye alisema atakinukisha tokea mwezi wa nne na akawazuia hata wengne kugombea, leo unasema alizuiwa?

Alitangaza kuvuruga uchaguzi, ulitaka dola impelekee soseji ili abembelezwe kugombea?

KITU AMBACHO HUJUI NI KUWA DOLA HATA INGEKUWA CHINI YA CHADEMA AU TECDEMA HUWA HAIJARIBIWI.
Dola gani acheni upumbavu
 
Nina doubt ata hiyo katiba hataweza kutuachia kama alivyo ahidi kwa sababu she is nothing katika chama

Amekuwa rais dhaifu kwasababu hata katika chama hakubaliki kihivyo
Chamani ndo habaliki zaidi ya vibaraka wale mtandao
 
Back
Top Bottom