PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 429
- 925
Hakuna uwaziri mkuu wa mbunge wa kuteuliwaKwa hali ilivyo mpaka sasa ningecheza karata moja ambayo watu wasinge amini macho yao.
Maana sina cha kupoteza, sasa ili kumaliza hiki kipindi kilichobaki ili nikapumzike zangu lakini pia niwe nimeweka historia na niendelee kuheshimika hata nikiondoka.
Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha awe waziri mkuu. Alafu nimweke awe mshauri wangu, tushirikuane tuirudishe heshima ya nchi yetu..lakini pia nataka aninyooshee serikali.
Yaani sitaki upuuzi kwenye taasisi za umma, maslahi ya wananchi ndo yawe kipaumbele.
Kuhusu wale wana mtandao itakula kwao, maana wao ndo wamenifikisha hapa na hawana msaada.. sasa ningewasaliti vibaya sana. Tena ningewanyoosha.
Nafikiri kwa kiasi fulahi nitakuwa nimepunguza machungu ya watu.
Alafu mwisho wa siku kabla sijaondoka nawapa katiba yao mpya waliokuwa wanaitaka na tume ya uchaguzi huru wanayoitaja. Alafu namaliza zangu naenda zangu kupumzika hukooo.
Ni kinyume ma katiba- mbunge wa kuteuliwa hana sifa ya kuwa waziri mkuu.Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha awe waziri mkuu.
Hapo kwenye kukaa pembeni ndo pagumu mzee!1. Mbunge wa kuteuliwa hawezi kuwa waziri mkuu.
2. Lisu na CHADEMA kwa ujumla hawawezi kushirikiana na hii serikali.
Waza vizuri uje na maoni mapya.
Maoni yangu ni.
1. Piga chini uongozi wote wa Jeshi, polisi, na usalama wa taifa. (Watose).
2. Fungua mashtaka kwa wote walio husika na utekekaji, mauaji ya october, na walio haribu uchaguzi. (Watose)
3. Itisha tume ya katiba mpya mpe kazi Warioba amalizie.
4. Itisha uchaguzi upya baada ya kupatikana katiba na marekebisho ya sheria, hatakabla ya muhula wako kwisha.
5. Kaa zako pembeni.
Nani alimzuia tundu kuingia kwenye uchaguzi? Yeye alisema atakinukisha tokea mwezi wa nne na akawazuia hata wengne kugombea, leo unasema alizuiwa?Ni kinyume ma katiba- mbunge wa kuteuliwa hana sifa ya kuwa waziri mkuu.
Lissu haja ya 'nusu mkate'. Samia alimzuia yeye na chama chake kushiriki uchaguzi (uliogeuzwa uchafuzi) bila sababu ya msingi.
Ungemshauri tu ajiuzulu, apishe uchaguzi huru ufanyike.
Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha awe waziri mkuu. Alafu nimweke awe mshauri wangu, tushirikuane tuirudishe heshima ya nchi yetu..lakini pia nataka aninyooshee serikali.
Mkuu maoni yako hayatekelezeki1. Mbunge wa kuteuliwa hawezi kuwa waziri mkuu.
2. Lisu na CHADEMA kwa ujumla hawawezi kushirikiana na hii serikali.
Waza vizuri uje na maoni mapya.
Maoni yangu ni.
1. Piga chini uongozi wote wa Jeshi, polisi, na usalama wa taifa. (Watose).
2. Fungua mashtaka kwa wote walio husika na utekekaji, mauaji ya october, na walio haribu uchaguzi. (Watose)
3. Itisha tume ya katiba mpya mpe kazi Warioba amalizie.
4. Itisha uchaguzi upya baada ya kupatikana katiba na marekebisho ya sheria, hatakabla ya muhula wako kwisha.
5. Kaa zako pembeni.
Kwani si kilinuka hadi leo kinanuka huko Mahakamani watu jasho linawatokaNani alimzuia tundu kuingia kwenye uchaguzi? Yeye alisema atakinukisha tokea mwezi wa nne na akawazuia hata wengne kugombea, leo unasema alizuiwa?
Alitangaza kuvuruga uchaguzi, ulitaka dola impelekee soseji ili abembelezwe kugombea?
KITU AMBACHO HUJUI NI KUWA DOLA HATA INGEKUWA CHINI YA CHADEMA AU TECDEMA HUWA HAIJARIBIWI.
We jamaa Bwana uwe makini na maneno yako, hii mitandao usiiamini saana kivile. Ni ushauri tuTundu awe waziri mkuu kwa lipi alilo nalo? Awe waziri mkuu kwa katiba ipi?
Kila kitu mtakitamani lakini hamtafanikiwa hata kidogo
Mtu ambaye hakushiriki uchaguzi mkuu?
Mtu ambaye hakuutambua uchaguzi mkuu
MARA MIA AHUKUMIWE KUNYONGWA NA ASINDIKIZWE KWA RISASI.
Ni kweli.Mkuu maoni yako hayatekelezeki