Kwa hali ilivyo mpaka sasa, ingekuwa ni mimi ningecheza karata moja tu na ndo iliyobaki

Na Roho za watu aliowaua...??? Maana hizo roho bado hazijapumzika kwa amani...zinarandaranda kila mahali kutafuta haki...
 
Chizi karogwa tena
 
Na Wakuu wa vyombo vya Usalama atawaweka pembeni? Maana hao ndio wame play part kubwa yeye kuwepo pale,
 

Huwezi kupata mawazo ya hivi kwa embeciles mkuu! Bold people wa caliber hii hawapogo sisiemuni kaka labda ile ya zamani sio ya kisasa
 
.".. naenda zsngu kupumzika huko". Huko wapi? Kizimkazi au kwa Wajomba?
 
Akae zake pembeni asubiri kufungwa maana katiba itakuwa imemuondolea kinga
 
Lissu alishapewa offer nyingi tu kama hii lakini akakataa. Tofauti yake ni kuwa wanataka apewe madaraka yasiyo na mamlaka...yaani awe kiongozi asiye na meno kama joka la Kibisa, au kwa namna nyingine kama ACT wazalendo ya Zenji. Madaraka ya ving'ora ili kuua upinzani.
 
Nina doubt ata hiyo katiba hataweza kutuachia kama alivyo ahidi kwa sababu she is nothing katika chama

Amekuwa rais dhaifu kwasababu hata katika chama hakubaliki kihivyo
 
Kwa akiki zako unadhani Tundu ni cheap kiasi hicho, unadhani unaweza ku bagain na tundu kwenye upuuzi wa serikali ya cvm? Hakuna karata iliyobaki mkuu, wala hakuna mbinu, ardhi na mbingu vimemkataa bi msumi
 
hao hao wanamtandao watakuuwa mapema tu wakikusoma kuwa unataka kuharibu maslahi yao......mimi nahisi mama wa watu amechelewa kuchukua hatua mapema...ningekuwa ni mimi ndie abdul ningemshauri mama ajifanye mgonjwa saana, na apelekwe nje ya nchi kwa matibabu na huko tungecheza ile movie kama ya Daudi balali.........
 
Kwani katiba ni biblia? Kiasi kwamba hawawezi kufanya marekebisho ya dharula?
 
LISU HAWEZI KUKUBALI
1)Kuuza utu wake,kuuza nafsi yake TO SELL HIS SOUL to the devil kwa kipande cha mkate au vipande vya fedha,kusaliti IMANI na misimamo yake na kuwa CHAWA MZEE.

2)Kuwasaliti wananchi walioweka imani yaO KWAKE na chama chake.

3)kuwa sehemu ya serikali hii hasa kwa wakati huu..kupanda JAHAZI INAYOZAMA iliyotoboka ikiwa baharini kuruhusu maji kujaa ndani

4)KWA SABABU LISU ANA AKILI TIMAMU NA SIO MNAFIKI,SIO COWARD (IQ kubwa),

5)MUNGU YUPO PAMOJA NAYE..ni nabii wa Mungu
 
LISU HAWEZI KUKUBALI
1)Kuuza utu wake,kuuza nafsi yake TO SELL HIS SOUL to the devil kwa kipande cha mkate au vipande vya fedha,kusaliti IMANI na misimamo yake na kuwa CHAWA MZEE.

2)Kuwasaliti wananchi walioweka imani yaO KWAKE na chama chake.

3)kuwa sehemu ya serikali hii hasa kwa wakati huu..kupanda JAHAZI INAYOZAMA iliyotoboka ikiwa baharini kuruhusu maji kujaa ndani

4)KWA SABABU LISU ANA AKILI TIMAMU NA IQ KUBWA,NI MKWELI NA MUWAZI,NI MPENDA HAKI.. sio CHAWA MZEE

5)MUNGU AMEWEKA KUSUDI ndani yake na Mungu yupo pamoja naye ni MTU WA MUNGU ana nguvu ya Mungu na HAKI YA MUNGU ndani yake...hawezi kuwa chawa au mamluki sio mnafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…