Kwa hali ilivyo mpaka sasa ningecheza karata moja ambayo watu wasinge amini macho yao.
Maana sina cha kupoteza, sasa ili kumaliza hiki kipindi kilichobaki ili nikapumzike zangu lakini pia niwe nimeweka historia na niendelee kuheshimika hata nikiondoka.
Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha awe waziri mkuu. Alafu nimweke awe mshauri wangu, tushirikuane tuirudishe heshima ya nchi yetu..lakini pia nataka aninyooshee serikali.
Yaani sitaki upuuzi kwenye taasisi za umma, maslahi ya wananchi ndo yawe kipaumbele.
Kuhusu wale wana mtandao itakula kwao, maana wao ndo wamenifikisha hapa na hawana msaada.. sasa ningewasaliti vibaya sana. Tena ningewanyoosha.
Nafikiri kwa kiasi fulahi nitakuwa nimepunguza machungu ya watu.
Alafu mwisho wa siku kabla sijaondoka nawapa katiba yao mpya waliokuwa wanaitaka na tume ya uchaguzi huru wanayoitaja. Alafu namaliza zangu naenda zangu kupumzika hukooo.
Ikiwa hao wanamtandao ndo wamekuweka hapo kwenye kiti unaanzaje kuwasariti ?Kwa hali ilivyo mpaka sasa ningecheza karata moja ambayo watu wasinge amini macho yao.
Maana sina cha kupoteza, sasa ili kumaliza hiki kipindi kilichobaki ili nikapumzike zangu lakini pia niwe nimeweka historia na niendelee kuheshimika hata nikiondoka.
Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha awe waziri mkuu. Alafu nimweke awe mshauri wangu, tushirikuane tuirudishe heshima ya nchi yetu..lakini pia nataka aninyooshee serikali.
Yaani sitaki upuuzi kwenye taasisi za umma, maslahi ya wananchi ndo yawe kipaumbele.
Kuhusu wale wana mtandao itakula kwao, maana wao ndo wamenifikisha hapa na hawana msaada.. sasa ningewasaliti vibaya sana. Tena ningewanyoosha.
Nafikiri kwa kiasi fulahi nitakuwa nimepunguza machungu ya watu.
Alafu mwisho wa siku kabla sijaondoka nawapa katiba yao mpya waliokuwa wanaitaka na tume ya uchaguzi huru wanayoitaja. Alafu namaliza zangu naenda zangu kupumzika hukooo.
Wakati unapanga kuwasaliti hao wanamtandao wao wanakuangalia tu?Kwa hali ilivyo mpaka sasa ningecheza karata moja ambayo watu wasinge amini macho yao.
Maana sina cha kupoteza, sasa ili kumaliza hiki kipindi kilichobaki ili nikapumzike zangu lakini pia niwe nimeweka historia na niendelee kuheshimika hata nikiondoka.
Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha awe waziri mkuu. Alafu nimweke awe mshauri wangu, tushirikuane tuirudishe heshima ya nchi yetu..lakini pia nataka aninyooshee serikali.
Yaani sitaki upuuzi kwenye taasisi za umma, maslahi ya wananchi ndo yawe kipaumbele.
Kuhusu wale wana mtandao itakula kwao, maana wao ndo wamenifikisha hapa na hawana msaada.. sasa ningewasaliti vibaya sana. Tena ningewanyoosha.
Nafikiri kwa kiasi fulahi nitakuwa nimepunguza machungu ya watu.
Alafu mwisho wa siku kabla sijaondoka nawapa katiba yao mpya waliokuwa wanaitaka na tume ya uchaguzi huru wanayoitaja. Alafu namaliza zangu naenda zangu kupumzika hukooo.
au ICC?.".. naenda zsngu kupumzika huko". Huko wapi? Kizimkazi au kwa Wajomba?
...... OmaaanKwa hali ilivyo mpaka sasa ningecheza karata moja ambayo watu wasinge amini macho yao.
Maana sina cha kupoteza, sasa ili kumaliza hiki kipindi kilichobaki ili nikapumzike zangu lakini pia niwe nimeweka historia na niendelee kuheshimika hata nikiondoka.
Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha awe waziri mkuu. Alafu nimweke awe mshauri wangu, tushirikuane tuirudishe heshima ya nchi yetu..lakini pia nataka aninyooshee serikali.
Yaani sitaki upuuzi kwenye taasisi za umma, maslahi ya wananchi ndo yawe kipaumbele.
Kuhusu wale wana mtandao itakula kwao, maana wao ndo wamenifikisha hapa na hawana msaada.. sasa ningewasaliti vibaya sana. Tena ningewanyoosha.
Nafikiri kwa kiasi fulahi nitakuwa nimepunguza machungu ya watu.
Alafu mwisho wa siku kabla sijaondoka nawapa katiba yao mpya waliokuwa wanaitaka na tume ya uchaguzi huru wanayoitaja. Alafu namaliza zangu naenda zangu kupumzika hukooo.
Lissu kashawagomea - hataki kutoka gelezani kwa masharti au ahadi ya vyeo.Kwa hali ilivyo mpaka sasa ningecheza karata moja ambayo watu wasinge amini macho yao.
Maana sina cha kupoteza, sasa ili kumaliza hiki kipindi kilichobaki ili nikapumzike zangu lakini pia niwe nimeweka historia na niendelee kuheshimika hata nikiondoka.
Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha awe waziri mkuu. Alafu nimweke awe mshauri wangu, tushirikuane tuirudishe heshima ya nchi yetu..lakini pia nataka aninyooshee serikali.
Yaani sitaki upuuzi kwenye taasisi za umma, maslahi ya wananchi ndo yawe kipaumbele.
Kuhusu wale wana mtandao itakula kwao, maana wao ndo wamenifikisha hapa na hawana msaada.. sasa ningewasaliti vibaya sana. Tena ningewanyoosha.
Nafikiri kwa kiasi fulahi nitakuwa nimepunguza machungu ya watu.
Alafu mwisho wa siku kabla sijaondoka nawapa katiba yao mpya waliokuwa wanaitaka na tume ya uchaguzi huru wanayoitaja. Alafu namaliza zangu naenda zangu kupumzika hukooo.
Dola gani acheni upumbavuNani alimzuia tundu kuingia kwenye uchaguzi? Yeye alisema atakinukisha tokea mwezi wa nne na akawazuia hata wengne kugombea, leo unasema alizuiwa?
Alitangaza kuvuruga uchaguzi, ulitaka dola impelekee soseji ili abembelezwe kugombea?
KITU AMBACHO HUJUI NI KUWA DOLA HATA INGEKUWA CHINI YA CHADEMA AU TECDEMA HUWA HAIJARIBIWI.
Chamani ndo habaliki zaidi ya vibaraka wale mtandaoNina doubt ata hiyo katiba hataweza kutuachia kama alivyo ahidi kwa sababu she is nothing katika chama
Amekuwa rais dhaifu kwasababu hata katika chama hakubaliki kihivyo