Kwa hali ilivyo sasa, Serikali itagombana sana na Watanzania kwa Mkataba mbovu wa Bandari

Kwa hali ilivyo sasa, Serikali itagombana sana na Watanzania kwa Mkataba mbovu wa Bandari

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hawa ndo wanyakyusa katika ubora wao hawapendangi ujinga.

Hizi nyimbo unaweza kuzibeza lakini kuna la kujifunza hapa kama wenye mamlaka wana akili.

.
 
Hawa ndo wanyakyusa katika ubora wao hawapendangi ujinga...
Hizi nyimbo unaweza kuzibeza lakini kuna la kujifunza hapa kama wenye mamlaka wana akili.

View attachment 2718718
.
Hizo ni kwaya za kanisa mazoezi yote wanafanyia kanisani chini ya viongozi wa kanisa, ila udini hautaleta usawa hata siku moja. Acheni kuhusisha kanisa na siasa........tulisha wahi na kiongozi anae ua wapinzani wake na kuwafunga mbona hizo nyimbo za kwaya za kanisa hazikutungwa kama wana uzalenda kitu kipi kina zidi uhai wa mtu.
 
Asanteni Wanyakyusa hawa ndio wanaume NAPE,MAKAMBA,KITENGE NI WANAWAKE
 
Back
Top Bottom