Hizo ni kwaya za kanisa mazoezi yote wanafanyia kanisani chini ya viongozi wa kanisa, ila udini hautaleta usawa hata siku moja. Acheni kuhusisha kanisa na siasa........tulisha wahi na kiongozi anae ua wapinzani wake na kuwafunga mbona hizo nyimbo za kwaya za kanisa hazikutungwa kama wana uzalenda kitu kipi kina zidi uhai wa mtu.