Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ujerumani ndiyo itakuwa nchi ya kwanza kuomba poo kwa Urusi kwa namna hali ya mfumuko wa bei unavyo hatarisha uchumi wa nchi yao.
Kwa mfano kuanzia leo mabango yote ya matangazo yatawashwa mwisho saa nne za usiku huku gharama za nishati ya gesi na mafuta zikipanda maradufu hali inayopelekea makampuni yanayosambaza nishati yakituma jumbe kwa wateja wao kuwataarifu gharama za nishati husika kupanda bei kila baada ya muda usiopungua lisaa.
Natabiri Ujerumani hatoboi Oktoba