Kwa hali inavyoendelea ni vigumu mno kwa Ujerumani kuendelea kuiwekea vikwazo Urusi

Kwa hali inavyoendelea ni vigumu mno kwa Ujerumani kuendelea kuiwekea vikwazo Urusi

Ujerumani ndiyo itakuwa nchi ya kwanza kuomba poo kwa Urusi kwa namna hali ya mfumuko wa bei unavyo hatarisha uchumi wa nchi yao.

Kwa mfano kuanzia leo mabango yote ya matangazo yatawashwa mwisho saa nne za usiku huku gharama za nishati ya gesi na mafuta zikipanda maradufu hali inayopelekea makampuni yanayosambaza nishati yakituma jumbe kwa wateja wao kuwataarifu gharama za nishati husika kupanda bei kila baada ya muda usiopungua lisaa.

Natabiri Ujerumani hatoboi Oktoba
Tunataka Serikali iliyopo iangushwe kama ya Boris mlevi
 
Unafahamu kwamba Marekani na Canada ni mojawapo ya wazalishaji wakubwa wa mbolea duniani??
Au unabwabwaja tu?
Cha ajabu Merikani inaendelea kununua mbolea kutoka Urusi nadhani na Uranium - lakini Mataifa mngine yakitaka kufanya biashara na Urusi wanawekewa pini na Amerika - taifa la hawa jamaa ni wabinafsi sana sana.
 
Unafahamu kwamba Marekani na Canada ni mojawapo ya wazalishaji wakubwa wa mbolea duniani??
Au unabwabwaja tu?
Unafahamu kwamba marekani nimoja ya wazalishaji wakubwa wa mbolea toka RUSSIA licha ya kwamba anatoa kipondo kwa kibaraka wao
Au unabwabwaja tuuu!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafahamu kwamba Marekani na Canada ni mojawapo ya wazalishaji wakubwa wa mbolea duniani??
Au unabwabwaja tu?

Kitu cha kwanza jifunze kuheshimu binadamu wenzako hata kama mnatofautiana kwenye maoni huna mamlaka kuwatukana au kuwakejeri leta maoni mbadala wasomaji watakuelewa - kubeza beza watu speaks volume about your PERSONA, talk down to people of your skewed character - not me.

Unashangaa nini Merikani kununua mbolea kutoka Urusi, mbona USA ununua soya beans kutoka Uchina wakati wao wanalima soya beans vile vile.

FYI, Canada too rely heavily on nitrogenous fertilizer imported from Russia!! Need I say more??
 
Back
Top Bottom