Kwa hali inavyoendelea ni vigumu mno kwa Ujerumani kuendelea kuiwekea vikwazo Urusi

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Ujerumani ndiyo itakuwa nchi ya kwanza kuomba poo kwa Urusi kwa namna hali ya mfumuko wa bei unavyo hatarisha uchumi wa nchi yao.

Kwa mfano kuanzia leo mabango yote ya matangazo yatawashwa mwisho saa nne za usiku huku gharama za nishati ya gesi na mafuta zikipanda maradufu hali inayopelekea makampuni yanayosambaza nishati yakituma jumbe kwa wateja wao kuwataarifu gharama za nishati husika kupanda bei kila baada ya muda usiopungua lisaa.

Natabiri Ujerumani hatoboi Oktoba
 
Source?
 
Na iwe hivyo
 
Siyo tu Germany, hayo mataifa yote yenye nguvu yamesha mshindwa mRusi, yaani wanamchangia kupitia ardhi ya Ukraine lakini bado jamaa kadinda

Tena natamani sana Putin angerejesha wale washirika wote wa kipindi kile ili America inyooke
 
Kwa kifupi ujerumani haikupenda toka mwanzo kujitenga Urusi.
Ujerumani hua Ina mahusiano mazuri na Urusi siku zote,hata ufaransa.
Tatizo ni Umarekani na uingereza na huo umoja wao wa Uropa..
Ujerumani na Urusi zilikua na biashara nzuri tu ya gesi kupitia Nordsteam2,kwa hiyo kwake vikwazo aliviona kama ni uchawi TU.
 
 
Mkuu, kuna nchi (Ufaransa) imeshaomba poo tayari kwa kutuma proposal kwa Urusi kupitia nchi ya Iran ili vita ya Ukraine vs Urusi isitishwe na kumalizwa kabisa.
 
Juzi alisema ana stock ya kutosha sasa analia nini, Ulaya hadi kujitegemea itachukua miaka na gesi kidogo ambayo walikuwa wananunua Ukraine sasa inamilikiwa na Russia yaani hadi waombe poo[emoji16][emoji16][emoji16]
Kujitegemea kwa gesi na mafuta hilo wasahau,,,,ikumbukwe pia wanamtegemea kwa mbolea na nafaka(mazao)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…