Kwa hali inavyoendelea ni vigumu mno kwa Ujerumani kuendelea kuiwekea vikwazo Urusi

Juzi alisema ana stock ya kutosha sasa analia nini, Ulaya hadi kujitegemea itachukua miaka na gesi kidogo ambayo walikuwa wananunua Ukraine sasa inamilikiwa na Russia yaani hadi waombe poo[emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa jamaa wanapitia mateso sana
 
sorry kusema kuwa huna akili nzur baba , Marekani ndio karithishwa huo ugomvi , nchi za Ulaya hazikuwa kupatana na Urusi nje ya maslai , na hiyo ndo sabab hata Urusi kuiuza Alaska kwa Marekan akiwahofia Ulaya , Marekam kaja kubebeshwa tu huo ugomvi nyuma huko Mgogoro ulikuwa kati ya Mabeberu wa kwel yaan wazungu wa Ulaya vs Wajamaa Urusi , so Marekan inapata Uhuru inabeneshwa ugomvi
 
Mkuu, kuna nchi (Ufaransa) imeshaomba poo tayari kwa kutuma proposal kwa Urusi kupitia nchi ya Iran ili vita ya Ukraine vs Urusi isitishwe na kumalizwa kabisa.
kwan Macron hakuwai kwenda Moscow kumuhasa Urusi asiivamie Ukraine
 
Hapa ndipo tutaona nationality ya watu vs wanaounga mkono Wayahudi feki wakipewa nguvu na marekani
 
Kujitegemea kwa gesi na mafuta hilo wasahau,,,,ikumbukwe pia wanamtegemea kwa mbolea na nafaka(mazao)

Cha ajabu Merikani inaendelea kununua mbolea kutoka Urusi nadhani na Uranium - lakini Mataifa mngine yakitaka kufanya biashara na Urusi wanawekewa pini na Amerika - taifa la hawa jamaa ni wabinafsi sana sana.
 
Ahsante sana kwa ukumbusho [emoji23][emoji23][emoji23]
Nalog off Z
Pamoja sana
Tunalog off Z

Udhamini Udhamini muhimu wakati Mrusi akipelekewa Moto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…