Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
- Thread starter
- #41
Una matatizo binafsi ya uchawa yamekupofusha machokama taifa tuko vizuri wamoja, na tunaelekea pazuria zaidi kwa kasi na viwango...
usalama wa mipaka, watu, mali na makazi yao ni madhubuti,
hakuna kitisho cha kiusalama kutoka ndani au nje ya nchi...
umoja, amani na utulivu wa waTanzania ni wa uhakika chini ya kiongozi, rais na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan![]()